Du we mwongo hadi raha et vyuo vote milion b ha haMfano Mimi Nimepata Loan Ya Tsh.3867000/= Hii Pesa InaGAwanywa Hivi....
¤Accomodation,Meal and Stationary kwa Vyuo Vyote wanatoa= Tsh.2000000/=
¤School fees ni = Tsh.1263000/=
Total Summation inakuwa ni Tsh.3263000/=
¤Pesa Ya field inategemea na Loan Uliyopewa ambayo ni tofouti ya Tsh.386700-Tsh.3263000= Tsh.604000
NB: kwa kuangalia Hapo the money ni 10 0%
Wakuu mi nimetupiwa 2284750 na ada ni 1100000 je ni % ngapi?
wazeiya nmepata 2,037,500/= na fee yangu ni 1.5,kwa hali hyo nahc kama nimepata asilimia 1 ya mkopo
Mfano Mimi Nimepata Loan Ya Tsh.3867000/= Hii Pesa InaGAwanywa Hivi....
¤Accomodation,Meal and Stationary kwa Vyuo Vyote wanatoa= Tsh.2000000/=
¤School fees ni = Tsh.1263000/=
Total Summation inakuwa ni Tsh.3263000/=
¤Pesa Ya field inategemea na Loan Uliyopewa ambayo ni tofouti ya Tsh.386700-Tsh.3263000= Tsh.604000
NB: kwa kuangalia Hapo the money ni 10 0%
kaka 80% inakuhusu..tutakuwa wote hapo sua