Nashangaa wanaume wenye akili zao wanaongozwa na huyu mwanamke asokuwa na busara na hekima kwa hili tu linanifanya niwambie wote wanao ongozwa na huyu wajichunguze na kujiuliza kama kweli wako sehem sahihi.
Tafadhari nakuombeni fanyeni maamzi upya, huo ni ushauri wangu
Sikutaka kuyasema ila tu nakuibieni siri katika wanawake wanao honga Wema anatisha ukibahatika kukutana naye kimapenzi uka mkalisha vizuri basi wewe umeramba dume
Tcl mkuu iko njema sana
Samsung, LG sema hawa kwa sasa wamebaki wanauza jina lakini kuna makampuni yanatoa vitu vya ukweli sema tatizo hayana jina kama Samsung na LG
Habari zenu waheshimiwa, kama heading inavosema nahitati kubadirisha jina na hilo jina niwe nalitumia kwenye nyaraka zozote
Lakini sijui wapi pakuanzia ili kulibadilisha kihalali
Hivo basi naombeni muongozo wana jf
Wakuu tujaribu kuelekezana maduka yanayo uza org coz town kuna maduka mengi yanayo uza utuli lakin mengi yauza utuli unao kaa lisaa limoja
Hivo nivema ukitoa kitu elekeza wapi inapatikana
Kaka kuchimba dhahabu kusikie tu hii kazi siyo ya sport sport nimefanya hiyo kwa miaka 5 sija fanikiwa mkuu isipokwa nilikuwa nikipata visent vya kula tu
Sasa ikatokea boss mmoja kaniamini nikawa na mnunulia hivo faida yangu nikawa na weka dhahabu mpaka kufikia hatua hii niliyo fikia sasa...
Nimebahatika kupata dhahabu nimeuza nikapata 25 million za kitanzania sijawahi kumiliki pesa nyingi kama hiyo hivo kwa kuhofia kulewa pesa nimeituliza bank sijajuwa nini nifanye ili niuage uchimba chumvi naombeni mawazo wakuu
Nawasilisha
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.