mtatiro kifipa maana yake ni ganuki...ww unaona ghalama kubwa kwenye demokrasia wakati kuna watu wanafanya ufisadi wa mabilioni.Naomba Allah aendelea kujaalia chaguzi ndogo zifanyike nyingi kabla ya 2015.Tunaitaji watu wa kupigania matumizi mabaya ya kodi za walala hoi katika nchi hii...
Mungu...
Hakuna shaka level ya integrity ya policcm ni mbovu yaani hawako organised kabisa,nashangaa kama rco anaongea hayo tena kwa jambo ambalo kuna public interest basi nchi hii inaitaji mabadiliko mapana....
muda wa mabadiriko ni sasa....M4C.... peeeeooplessss poooweeer
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.