Mnafiki Sitta (SIX) ameumbuka Kirumba, na mnafiki Kilango kaumbuka Kiwira

Huyu SIX amesha expire. Hata kusimama straight hawezi. Urais hata wa siku sita hauwezi. NI KWELI NI MNAFIKI na ana madhambi mengi sana tokea alipokuwa CDA Dodoma mpaka sasa ni wizi mtupu. Mzee huyu ameshasafirisha hata Magogo kutoka misitu ya kwetu huku Tabora leo usafi kaupata wapi. Vijana huyo NO.
 
Wimbi la ukombozi litaendelea kupita Tz yote. Huu ni wakati wa CDM kuendelea kushikamana na kukiimarisha chama. Moto ulioanzia Arumeru, kirumba, Songea na Kiwira uendelee kuwashwa maeneo mengine kupitia operation sangara, we don't have much time before 2015.
 
me naona ni serikali yote ya JK imeumbuka, kwani mawaziri wengi wametumika kwenye kampeni lakini wapiiiiiiiii, Peopleeeeeeesssssssssssssssssssss powerrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr

Waliwadanganya wana Igunga tu, lakini wana Arumeru hawadanganyiki. CCM na serikali yake kweli wameumbuka maana walituma mawaziri kibao, lakini hawakuthaminiwa na wananchi.
 
Wana jamii nawasalimia wote. Ni mara ya kwanza kuwemo katika mtandao huu. Nimwvutiwa na mambo mengi ya kujifunza na kuelimika.
Nawapongeza kwa dhati wale wote waliofanikisha ushindi wa Chadema kule Arumeru, Kiwira na Kirumba. Nampongeza kwa dhati kabisa kichaa wa kuzaliwa Lusinde pamoja na Msinziaji Wahasira kwa uchangia ushindi wa chadema kule Arumeru. Nawaomba waendelee na kampeni hizo hizo za matusi ili kuasidi aushindi wa vyama pinzani. pipoz ....................wote na tuseme ...........power.
 
Ccm ni vipofu. Sita, Nape, Mwakyembe, sendeka, Membe na wenzao wanafurahi mamvi kuanguka ila wanasikitika kwenye viti vya udiwani. sijui kama wametambua au watatambua kuwa tatizo si EL bali watu haiwataki tena CCM. SASA HAPO KUNA CHAMA TENA?
 
Pamoja na hujuma zote walizowafanyia CDM ili waanguke lakini aibu imerudi kwao.
M4C for real in order to liberate people.Peeeeeeeeepleeeeeeeeee's................powerrrrrrrrrr.

Sasa chadema wasubiri uchaguzi wa marudio jimbo la Segerea. Lazima Makongoro Mahanga ang'oke.
 
piga operation fungua macho mikoa ya kusini maana hawajielewi na kule bukoba kwa wahaya hawajielewi kama ilivyo tanga,moro na pwani.
 
hodi hodi , nimgeni naomba kukaribishwa , lakini kilichonisukuma hapa nikuwapa pongezi wanachadema wenzangu , peploooooooooooooooooooooz power.
 
Mimi huwa siku zote nasema kuwa Samweli Sitta si kiongozi anayeweza kuwa na sifa hizo anazopewa na watu mbalimbali, amekuwa mnafiki sana kutokana na msimamo wake kutokuwa thabuiti katika mambo mbalimbali.Anajua wazi kuwa hicho chama kwa sasa hakibebeki na ufisadi hauwezi kutokomezwa lakini bado amekomaa nao tu humo humo, ni yeye aliyewatosa wenzake walipoanzisha kwa pamoja chama cha Jamii na kukifanya kife kifo cha mende, ni yeye aliyezima mjadala wa RICHMOND bungeni.Kwa unafiki huo sita hajaitendea haki nchi hii, hayo aliyoyapata Kirumba ni matokeo ya dhambi hizo. Kwa upande wa kilango ni wazi kwamba si lolote na si chochote, ni mchumia tumbo tu, na alifanya makosa sana kwenda kwa Wanyakyusa kujifanya mwema sana sana kwa kukinadi chama cha mafisadi, kwa ufupi ni kwamba kule Mbeya ni moja ya sehemu ambazo mabadiliko yataanzia, hilo ni pigo la kwanza, wasubiri lingine linakuja.

... Hakuna kitu kinanikera kama makelele ya huyo mama Kilango na mwenzake Olesendeka. ni mambumbumbu tu, si uliona kwenye mjadala wa katiba mpya walivyokuwa wakipayuka kuwapinga CDM. halafu baadaye JK akawaumbua umbumbumbu wao baada ya kuzikubali hoja za CDM.
 
Na yeye eti anataka kuwa rais! kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi,,,,, HANA JIPYA, PEOOOOOOOOOOOOOOOOOOOPLE!!!
 
Taifa letu linaitaji mabadiliko makubwa hatuwezi kuendelea kutumia fikra za akina Mzee Msekwa tangu mwaka 1959 yuko serikalini...Aibu yao wenyewe.
 
Mama Kilango baada ya kuwaitia CDM FFU na kuwapiga mabomu alisikikka jukwaani akisema kwamba akina mama kesho tujitokeza kwa wingi kuwaadhibu CDM kwa kukipigia kura CCM kwasababu wametushindisha njaa baada ya kutufungia.

Kumbe akina mama wa Kiwira walikuwa na lao jambo, kumuaadabisha Kilango kwasababu ya unafiki na ghiriba zake na kukiadhibu CCM kwasababu ya dhulma na mabavu yake. CCM KWISHNEY
 
Back
Top Bottom