Tabora: Wabunge wa CHADEMA waachiwa kwa dhamana; Kupokewa kwa maandamano Igunga

Chama cha Maandamano yasikuwa na tija yoyote kwa taifa. Vipi posho za maandamano.
Kila kichwa buku tano, Dr Slaa, Mbowe Laki saba, kila mmoja hawa kina Regia Mtema, wengine 100,000 Pipozz powerr!!

Mnaharibu dhana nzima ya maandamano.mtake kubaka watu wawashtaki maandamano,mdharirishe wanawake kijinsia maandamano,mdhihaki wanawake wa kiislam kwa kuwavua hijabu maandamano,mpige watu na kujichukulia sheria mkononi maandamano.huu si ujanja ni kutaka kuwageuza watz ndondocha.cdm is not trusted at all.

Narudia tena kusema!!!!! Ukishitakiwa kwa kosa huku mlalamikaji akawa wa-MAGAMBA ujue ili kesi iishe wewe hangaikia dhamana tu kwani MAGAMBA hawana ubavu wa kuendelea na kesi mahakamani. Taarifa nilizo nazo juu ya tarehe nyingine ya kusikilizwa kesi hiyo ni tarehe 10/10/2011 ambapo hata uchaguzi katika jimbo la igunga utakuwa umekwisha fanyika.

Keep in moving makamanda CHADEMA mwanzo ni mzuri kwa kuchukua nchi. Igunga ni mlango kwa CHADEMA kuchukua majimbo ya TABORA.

Ni hayo tu!!!!!!!

unawakubali kiainaa eti!

Tehehetehe Mkuu kumbe unawajua hawa na viroho vyao vyepesi?wakishalewa wanasahau kila kitu

Mnaharibu dhana nzima ya maandamano.mtake kubaka watu wawashtaki maandamano,mdharirishe wanawake kijinsia maandamano,mdhihaki wanawake wa kiislam kwa kuwavua hijabu maandamano,mpige watu na kujichukulia sheria mkononi maandamano.huu si ujanja ni kutaka kuwageuza watz ndondocha.cdm is not trusted at all.

CDM is not trusted at all. ha ha ha ha ha ha ha!
MAGAMBA BWANA ha ha ha!

Lile la kubaka ameamua asiliweke? Aibu yake DC kubwa sana, nani ambake yule!!? Na yule kada wa magamba amesharudusha chupi ya mke wa ustadh?

Kwa nini mnamwita 'yule kada'???

Tuseme, na Mwigulu amesharudisha ile chupi? Spade iitwe spade bana...

Mnaharibu dhana nzima ya maandamano.mtake kubaka watu wawashtaki maandamano,mdharirishe wanawake kijinsia maandamano,mdhihaki wanawake wa kiislam kwa kuwavua hijabu maandamano,mpige watu na kujichukulia sheria mkononi maandamano.huu si ujanja ni kutaka kuwageuza watz ndondocha.cdm is not trusted at all.

TOA ULAZA WAKO HUMU JAMVI WE SHAROBARO.

Back
Top Bottom