Ni makosa makubwa kushinikiza Serikali - Dk Benson Bana

Nawashangaa kutoa maoni yenu muhimu kwa rejea ya gazeti la UHURU.Heri Toilet Paper kuliko Gazeti la Uhuru.Gazeti la Uhuru ni rubbish tu wala usitoe rejea yako kwenye gazeti ilo.
umenena mkuu. heri habari hii ingeandikwa kwenye toilet paper ningefanya kila mbinu ninunue.
 
Msomi kutoka chuo kikuu cha DSM Dk Benson Bana amesema ni makosa makubwa serikali kuongozwa kwa mashinikizo.Dk Bana alikuwa akirejea shinikizo la kuwawajibisha mawaziri mafisadi na wazembe lililotolewa na bunge katika kikao kilichoisha jumatatu wiki hii.Dk Bana ameonyesha kukerwa na kitendo hicho kwani ni kutaka kuyumbisha serikali.

Source:Uhuru Jumatano

Ukiwa na akili huioneshi maana hujionesha, ukiwa mpumbavu ni lazima ujionesha maana mpumbavu akikaa kimya huonekana mwenye busara, dakari kaonesha tu kitu fulani.
 
Dr. Bana kama unajiamini na elimu yako ya nini hofu? Tunakufahamu kuwa nawe ni gamba mtumishi wa magamba! Au hujali kwa vile hujawahi kukosa mshahara? Kubwa jinga wewe.
 
Pamoja na kwamba mi sio msomi kama yeye lakini nafikiri mojawapo ya majukumu ya bunge ni kuisimamia serikali ikiwa ni pamoja na kumshauri Rais pale inapofaa.... Kuishinikiza serikali sio kosa na ndo mana katiba inaruhusu KURA YA KUTOKUA NA IMANI YA RAIS au WAZIRI MKUU

Kwa kukazia ni kwamba,wabunge wanawawakilisha wananchi na wananchi ndio wenye maamuzi ya mwisho sababu Serikali hii inapata uhalali Wa kuongoza baada ya kuchaguliwa na wananchi vivyo katika kuiwajibisha iwe ni kuiondoa kistaarabu ama kwa vita
 
Msomi kutoka chuo kikuu cha DSM Dk Benson Bana amesema ni makosa makubwa serikali kuongozwa kwa mashinikizo.Dk Bana alikuwa akirejea shinikizo la kuwawajibisha mawaziri mafisadi na wazembe lililotolewa na bunge katika kikao kilichoisha jumatatu wiki hii.Dk Bana ameonyesha kukerwa na kitendo hicho kwani ni kutaka kuyumbisha serikali.

Source:Uhuru Jumatano

Huyu mZee ni miongoni mwa wanaompotosha Rais na CCM yake... Anakuwa anasikiliza ushauri kutoka kwa hawa wahuni kama kina Bana.

Raisi anatakiwa kufanya kazi kwa maelekezo ya wananchi na kuchukua hatua kwa kushinikizwa kama katika maelekezo ya kawaida hatekelezi...

Raisi na serikali yake wanawajibika kwa wananchi na wawakilishi wa wananchi.

Huyu Mzee anazungumzia utamadunu ule wa kifisadi uliotamamlaki kwa miaka 50 iliyopita na Katiba ya wananchi..

Shame on this kind of Drs waliojaa Ubinafsi na upotoshaji wa hali ya juu..

Huyu Mzee anatakiwa ajipambanue kama mwana CCCM kama kina Mkama na si kutudanganya eti ni Lecturer kumbe anafanya kazi ya CCM
 
Sasa hapo ndio ujue serekali hii haitakaa ibadilishe maisha ya wananchi. Maana huyo ndio msomi na ndio mshauri wa Rais ambaye anaona kwamba mtu akiibia serekali aachwe aendelee na sio kushinikizwa aache kutuibia. Kwa namna hii na haja ya kuwa msomi kweli wakati hata watu ambao hawajasoma wangeweza kutoa ushauri mzuri kwa wezi zaidi ya huo. Siku nikisikia mtoto wangu anafundishwa na Dr.Bana nitaandamana mpaka chuoni. Shame on u dr.bana
 
Kumbe source ni Gazeti la Uhuru!................................... What do you expect, hata ukweli utapindishwa! na haya ni magazeti ya kufungiwa kabisa maana yana didimiza nchi na kuzidisha uchochezi!
 
Cha msingi ni kuhimiza na kutoa elimu kuhusu haya magamba hasa vijijini wapate kujua yanayoyafanywa na haya magamba, hao wenye vichwa vya panzi na wenye mawazo mgando na wavivu wa kufikiria wasitukatishe tamaa, we need changes..
 
Msomi kutoka chuo kikuu cha DSM Dk Benson Bana amesema ni makosa makubwa serikali kuongozwa kwa mashinikizo.Dk Bana alikuwa akirejea shinikizo la kuwawajibisha mawaziri mafisadi na wazembe lililotolewa na bunge katika kikao kilichoisha jumatatu wiki hii.Dk Bana ameonyesha kukerwa na kitendo hicho kwani ni kutaka kuyumbisha serikali.

Source:Uhuru Jumatano

Huyu Dr. anadhalilisha sana wasomi kila kukicha ,afuatilie mambo yanavyokwenda duniani.
Kama mtu alipata udakitari wake miaka ya 90 ama 80 ni vyema akawa ana update ubongo wake kwa mambo yanavyokwenda asifikiri yeye kuwa Dr.(PhD) amemaliza na mawazo yake ni ya msingi kuliko ya wengine.Huyu ni mtu aliyesoma ila moyo wake umetawaliwa na ubinafsi uliyokithiri ndio maana anatetea maslahi yake binafsi pasipo kutumia akili alizonazo.Kifupo ni kwamba hajaelimika.

Msomi ambaye hana mawazo yenye kutoa njia mbadala ya kuelekea kwenye kutatua matatizo yanayoikumba jamii yake hana maana yoyote.Mtu wa namna hiyo huwa hupenda kujipendekeza kwenye tabaka fulani kwa maslahi yake binafsi ,pia mtu wa aina hii hutawaliwa na fikra hasi zisizo na tija kwa uma.Huyu ni binadamu anayefuata mfumo gani wa utawala maana hata kwenye utawala wa mabavu watu hunyongwa/kupigwa risasi kama wanaonekana ni kikwazo kwa muonekano wa ustawi wa utawala wa kimabavu. Msingi na mtaji wa utawala wowote ni rasilimali watu,kama wananchi wamechoka na utawala mbovu ni dhahiri utawala huo uwe tayari kukosa rasilimali watu kama wazalishaji-hivyo ustawi wa hilo taifa ni ndoto.It is very difficult for economic activity to develop if the basic principles of good governance do not exist.

Huyu ni Msomsomi wa aina gani asiyejua umuhimu wa utawala bora na misingi yake ! Uwajibikaji ni moja ya misingi ya utawala bora. Mashikizo kutoka kwa wananchi ni ishara ya ukomavu wa demokrasia.Jumuia iliyostaarabika hufuata misingi ya utawala bora kwani tafiti zinaonyesha kuna uwiano mkubwa kati ya kukua kwa uchumi na utawala bora.Mfano up 2000, nchi 24 bora zilizokuwa zinazingatia misingi ya utawala bora zilikuwa na GDP per capita 25,716$ kiwango cha kukua kiuchumi ni 2.5%. Wakati huo nchi 21 za mwisho kwenye utawala bora zilikuwa na GDP per capita $3,094 kiwango cha kukua kiuchumi ni 0.33%.Sasa huyu ni ni msomi wa wapi anayetuaminisha ujinga wake.

Dr. Bana ni Msomi ambaye hajaelimika hivyo matamko yake sio vyema kupoteza muda kuyajadili humu.Huyu hana tofauti na kina Prof. Maji marefu.
 
Msomi kutoka chuo kikuu cha DSM Dk Benson Bana amesema ni makosa makubwa serikali kuongozwa kwa mashinikizo.Dk Bana alikuwa akirejea shinikizo la kuwawajibisha mawaziri mafisadi na wazembe lililotolewa na bunge katika kikao kilichoisha jumatatu wiki hii.Dk Bana ameonyesha kukerwa na kitendo hicho kwani ni kutaka kuyumbisha serikali.

Source:Uhuru Jumatano

Huyu jamaa namuona kama punguani flani hivi,kuongea kwenyewe hata hawezi.
 
Ana bahati mbaya kweli maana hata kwenye Tume ya Kukopi maoni ya katiba mpya hakuwepo. Mwenzake Paramagamba Kabudi, ingawa hakuupata uenyekiti, walau amekuwa mjumbe.

Hivi huyu dr ana kabinti kokote? Kuna jamaa yangu ana hasira naye sana, anataka atumie sex kama weapon ya kum-attack huyu Bunsen Burner!

:smile-big::A S shade::A S shade::A S shade::A S shade:
 
Ni makosa makubwa serikali kuongozwa kwa mashinikizo. Kitendo hicho kwani ni kutaka kuyumbisha serikali.

Source:Uhuru Jumatano
Litokalo mdomoni ndilo liliomo moyoni. Kwa maneno haya ya Dk wetu msomi kuwa, "Ni makosa makubwa serikali kuongozwa kwa mashinikizo. Kitendo hicho kwani ni kutaka kuyumbisha serikali" lililo moyoni mwake "Ni jambo zuri sana serikali kuongozwa kwa wizi. Kitendo hicho ni kuiimarisha serikali na kuibakisha madarakani".

Hawakukosea wale waliosema kwenda shule si kuelimika.
 
Msomi kutoka chuo kikuu cha DSM Dk Benson Bana amesema ni makosa makubwa serikali kuongozwa kwa mashinikizo.Dk Bana alikuwa akirejea shinikizo la kuwawajibisha mawaziri mafisadi na wazembe lililotolewa na bunge katika kikao kilichoisha jumatatu wiki hii.Dk Bana ameonyesha kukerwa na kitendo hicho kwani ni kutaka kuyumbisha serikali.

Source:Uhuru Jumatano

kama kweli kasema hivyo basi hajui anachoongea. Na kwa sababu hiyo basi anajushushia heshima ya kisomi. Duniani kote hakuna serikali isipata mashinikizo. Serikali ikikosea jambo lazima iwajibike. Kama hawataki mashinikizo basi wafanye mambo inavyotakiwa. Nchi nyingi tu duniani zimeitisha uchaguzi wa dharura baada ya serikali zilizokuwa madarakani kushindwa kufanya kazi walizotumwa kufanya na wapiga kura. Huyu Bana amesoma wapi siasa???.

Msomi kutoka chuo kikuu cha DSM Dk Benson Bana amesema ni makosa makubwa serikali kuongozwa kwa mashinikizo.Dk Bana alikuwa akirejea shinikizo la kuwawajibisha mawaziri mafisadi na wazembe lililotolewa na bunge katika kikao kilichoisha jumatatu wiki hii.Dk Bana ameonyesha kukerwa na kitendo hicho kwani ni kutaka kuyumbisha serikali.

Source:Uhuru Jumatano

Kati ya wasomi wote wa sisiem sasa wamebaki kutumaini huyu banana. kweli wameishiwa. Ina maana JK kwanza anaomba ushauri kwa huyu msomi wao then anautumia. nazi inategemea kichwa cha bana!!!!!! hii kali
 
Back
Top Bottom