Jakaya Kikwete na Imelda Marcos wako Brazil kujivinjari kwa siku tano

mpayukaji

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
940
349
[h=3]Vasco da Gama na Imelda Marcos wako Brazil[/h]

Vasco da Gama na Imelda Marcos wakishuka kwenye uwanja wa ndege wa Sao Paulo
Pamoja na kupigiwa kelele kuacha ziara zisizolingana na hali ya uchumi wetu, rais Jakaya Kikwete aka Vasco da Gama na mkewe Salma aka Imelda Marcos wako Brazil kujivinjari. Ameandamana na watu wangapi na wa aina gani? This is top secret. Kwanini deni la taifa lisiumke? Baada ya kuona nafuu ya Kanumba inapungua, ametafuta tukio jingine la kukwepa aibu kama kawa! Kweli yetu ni Danganyika! Anavyojipelekapeleka, hakuna hata rais mwenzake kumpokea! Ama kweli tumepata watawala baada ya kiongozi wetu Mwalimu Nyerere kututoka.
 
huyu avae kanzu na kikofia basi ndomavazi yake hayo ..hizi suti analazimisha tu na matege aliye nayo hayo balaa tupu
 
Mambo ya samba hayo........

victoria-vives-samba-jonathan-club1.jpg
 
Hivi ingekuwa Tanzania raisi wa nchi nyingine anakuja angepokelewa kwa syle hiyo? Mbona rais wetu anaonekana hathaminiwi kabisa huko, cheki jinsi alivyo hapo, yaani yupoyupo tu, hakuna cha zulia jekundu kama inavyokuwa huku wala ngoma za jadi za kumpokea. Sasa anajipendekeza huko kwa ajili ya nini kama anajua watu hawamtaki?
 
Ukitaka kujua hiyo safari imeghalimu bei gani, jiulize amesafiri na watu wa usalama wa Taifa wa ngapi, waandishi wa habari wangapi, wakalmani ikitokea ataongea na mtu wasielewana lugha, achilia mbali mapanga yatakayopigwa hukuhuku Tanzania yakihusishwa na safari yake, na CAG haruhusiwi kukagua na kutoa opinion kwenye hesabu za ikulu maana anaweza akaingilia mambo ya usalama wa Taifa hasa ukichukulia shughuli za usalama wa Taifa ni siri kubwa.
 
,
Ni kimbele mbele chake
 
Michuzi naye yumo
 
kwa nini mama salma unamwita imelda marcos? maana huyu imelda ni mama mmoja alikuwa pale ufilipino na alikuwa mke wa zaman wa nchi hiyo....
 
Jakaya anastahili kuitwa Vasco Dagama lakini huyu mama wa watu Salma hiyo title ya Imelda haiendani naye kwani she is a humble woman; huyu mkweree anampelekesha tu na hayo mambo yake otherwise she is a modest woman!!
 
Mimi nadhani hizi safari nyingine ni za kwake binafsi na wala siyo State Invitation, kwa picha tu huoni mapokezi yoyote anayostahili kupewa Rais wa nchi, sana sana kuna mdosi hapo namuona anapiga hesabu za kusaini mkataba wa kuja kusomba maliasili zetu.
 
Eeh Mungu Tusaidie 2015 ifike haraka uyu mtu aondoke pale magogoni kwani anatutia aibu anapennda safari zisizokua na tija kwa taifa dhaifu kama hili na kua na rais mpenda starehe kama huyu ni hatari economically,JK Rais wetu mbona unakua kama sikio la kufa.....watanzania wanakuachia laana kuna mambo mengi yakufanya yanakukabili apa nyumbani ila ww kila kukicha ughaibuni na ukiwa dar ww kazi yako kwenda kwenye misiba na Kitchen Part na bagamoyo hutulii ofisini kushuhlikia kero zetu ndo mana unadharaulika na watendaji wanafanya watakavyo pliiz Badilika.
 
Mimi nikisafiri wiki tu kazi ninazozikuta napata tabu, ila huyu jamaa kwakweli kavinja rekodi

Travel time pekee ya kwenda na kurudi Brazil ni maafa - muda, afya na gharam

TATIZO KUBWA
 
Back
Top Bottom