Recent content by Chaggabeibe

  1. Chaggabeibe

    JamiiForums Tanzania GE2025 Niffer na wengine 97 wafunguliwa mashtaka, yakiwemo ya UHAINI kufuatia maandamano ya Oktoba 29, 2025

    Ukimaliza kuwaombea mabaya, unashika udhu na una swali! Audhubillahi mina shweitan rajeeeeem.
  2. Chaggabeibe

    JamiiForums Tanzania Serikali ifike wakati muwaonee huruma Watanzania wenzenu. Mtafanya propaganda za namna hii mpaka lini?

    Huku ni kupoteza muda. Kwanini hizo course za ustadi/ufundi, zisiingizwe kwenye shule za msingi na secondary? Mitaala yetu ya elimu ni duni saana
  3. Chaggabeibe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hakuna umuhimu wa kuoa mke mfanyakazi. Labda kwa waliofeli maisha wafanye hivyo wasije kufa njaa

    Umeandika kibinafsi saana. Sasa kuna haja gani ya kumpeleka huyo binti yako shule ili hali baadae kazi yake ni Kua mama wa nyumbani? Nakuambiaje, kama ni kuliwa ata ukisema awe anajifungia chumbani, wahuni watamtafuna kwenye kitanda chako unacholalia.
  4. Chaggabeibe

    JamiiForums Tanzania Mchumba wangu wa miaka 5 anafunga ndoa kesho inaniuma sana, nifanyaje?

    kaona hueleweki. Miaka 5, ni nini udaktari ulikua unasomea?
  5. Chaggabeibe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mnawatoa wapi watu wenye mapenzi ya kweli?

    Wakuu kwema? Mimi nina swali dogo sana. Watu hua wanasali sala gani au wanafanya nini mpka wanapata wapenzi wenye mapenzi ya dhati na wametulia?
  6. Chaggabeibe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini sipati mwanamke wa kuoa na wakati nina pesa nyingi?

    Mtego huu
  7. Chaggabeibe

    JamiiForums Tanzania Dada zangu fanyeni mazoezi ya Tumbo na kujenga Confidance. Fassion haziendani na TUMBO kubwa

    Sasa kitu hakiniwashi, hakiniumi, sio kizito. Nakitoa cha nini?[emoji23]
  8. Chaggabeibe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Faida ya kupata mpenzi mtandaoni

    Kwani hao wa mtaani si ndo hao hao wapo mtandaoni! Unaweza ukakutana nae kanisani na akakukula na kukuacha na hivo hivo unaweza ukakutana nae mtandaoni na mkaoana.
  9. Chaggabeibe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uliwezaje kuvuka maisha ya upweke na usingle?

    Saaana, Ila kuna mda hakuna namna.
  10. Chaggabeibe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uliwezaje kuvuka maisha ya upweke na usingle?

    Mimi kwasasa sijui ndo nmezoea upweke. Najionea sawa tu.
  11. Chaggabeibe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Online dating ya bongo na vituko na vitimbi tele

    Tinder, bumble, badoo
  12. Chaggabeibe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahisi uchovu sana kila nikinywa konyagi, shida nini?

    Kabla hujanywa, kula vizuri alaf kunywa maji mengi alaf ndo upige vyombo. Na wakati unaendelea na vyombo unaweza ukanywa maji pia.
  13. Chaggabeibe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume tusiopenda wanawake weupe tukutane hapa

    Hatimae, tumefikwaaa[emoji23]
  14. Chaggabeibe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Inaniuma, mpenzi wangu anaolewa

    Sasa kama ulimpiga chini, Kwanini unaumia? Roho mbaya hiyo.
  15. Chaggabeibe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwenu Wanawake, upo tayari kuwa na mwanaume uliyemzidi umri?

    Kama huyo cocomelon ananijali, ananispoil, for me it's a yes. Ila kama anataka nianze tena kumlea kama nmemzaa. It's a big NO
Back
Top Bottom