Wanaume tusiopenda wanawake weupe tukutane hapa

Wanaume tusiopenda wanawake weupe tukutane hapa

Habari ndugu zangu..

Wanawake weupe hawana mvuto kabisa na wala hawana ladha hata kidogo kunako sita kwa sita.

kwa upande wangu mwanamke rangi ya andazi au mweusi wa asili anavutia sana nani warembo sana hakika wana ukosha sana moyo wangu.

Unakuta mwanamke mweusi au rangi ya andazi, mtoto haringi wala, mwili umepangika, hipsi na paja la kueleweka, mtoto kiuno, joint za nyuma ya goti ndiyo usiseme zinaongea. Mtoto mtoto kweli hakika wanawake wa hivi sifa ziende kwenu. Muishi sana hamnabaya hata kidogo

Kweli wanawake weusi au wenye rangi ya andazi sifa ziende kwenu.

Mbinguni nafasi yenu ni ya mbele , Mungu awatunze sana kwaajili yetu sisi wanaume.

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
85% wana kiwango kidoogo sana cha joto.
 
Mkuu hivi haukumsoma Deep pond, anasema lazima wawe nafigure ya wastani sio mwanamke tumbo la kumwagika, makalio makubwa, wanakueleza hao vibonge wazuri kuangalia tu wakivua wanatisha, wanakua kama mashetani , sasa ongezea huyo kasema kajichubua na wakuu wanataka weusi sio ndio balaa hapo kwahiyo atafia nyumbani tu

Jmn mashetani tena tutake radhi
 
Uliwatukana mods?
Fvck Mods, watajua wenyewe km mazombi kuna zombi moja lipo humu hua wanaliteteaga ukiligusa tu wanakupiga mkuku mkuku kuja kukupiga ban ya muda mrefu wasenje kabisa Mods
giphy-2001625400.gif
 
Za weusi zina joto zuri,, weupe kupata joto kwa kubahatisha
 
Back
Top Bottom