Recent content by cha tabora

  1. C

    JamiiForums Tanzania Hassan Ngoma: Mwambieni Mange Kimambi wenu nina 'free pass' ya kuingia Ikulu akitaka nitampeleka

    Hiyo nayo ni habari ama usengelema yeye ana pass ya kuingia wenzie wanaishi humo.
  2. C

    JamiiForums Tanzania Ilikuwa ni lazima Masogange afe?

    Na mengi hayana maana.
  3. C

    JamiiForums Tanzania Tanzania Online Content Regulations: Ni kosa kisheria simu, computer kutokuwa na password. Kuendesha Blog lazima ulipie!

    Kwahiyo hata zile blogs zinazojihusisha na mambo ya kilimo na ufugaji zimejumuishwa humo?
  4. C

    JamiiForums Tanzania Hata kipindi cha vita dhidi ya wakoloni kuna waafrika walikuwa katika jeshi la mkoloni, simshangai Tundu Lissu

    Aise ni afadhari ungekua MJINGA maana ukielimishwa utaelimika lakini wewe upo kwenye kundi la WAPUMBAVU hata iweje tufunge tuzikiri huwezi kuelimika. Pole sana. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. C

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kuiunga mkono Jubilee ni kujisaliti

    Kinachokushaza ni kipi? Sijakuelewa Sent using Jamii Forums mobile app
  6. C

    JamiiForums Tanzania SAKATA LA MADINI: Karamagi ahoji, nisaidie nini ?

    Kuna wakati wa tz wenzangu wanashangaza sana mtu kutajwa Kwenye kamati bado hajawa mkosaji kama alifuata sheria ilivyoelekeza anakosa gani?
  7. C

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: ACT-Wazalendo walianzishwa kuua upinzani, sasa wanazawadiwa

    maneno ya JPM baada ya kumuapisha mama Mgihrwa kua mkuu mpya wa mkoa wa Kilimanjaro Nukuu " Wakati nagombea Urais Nilinadi na Kutangaza sera za CCM hivyo Nenda katumikie sera za CCM. " mwisho Wa Nukuu. Tafsiri rahisi ni kwamba unatumikia sera za chama unachopingana nacho hivyo ni usaliti kwa...
  8. C

    JamiiForums Tanzania Zitto awasha moto kuhusu Reli mpya inayojengwa

    Bashe alishauliza nini target ya ujenzi wa reli
  9. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndoa za wasomi

    Tena wenye elimu ya kawaida ndio wengi wenye mafanikio Kwenye kila nyanja Kiuchumi wengi wao wako byee kiasi chake, Family zao ziko sawa hawayumbishwi na dunia. Lakini kusoma sana ni kuzuri endapo msomi huyo atapata kile alichokua anakitafuta wakati wa masomo yake, shida itakuja pale...
  10. C

    JamiiForums Tanzania Hostel za udsm vs Ghorofa za Magomeni

    Magomeni ni makazi ya kudumu Udsm ni makazi ya muda so michoro na gharama za ujenzi lazima zitakua tofauti.
  11. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Namna ya kutumia screen mbili ktk kompyuta

    Let me try it
  12. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Namna ya kutumia screen mbili ktk kompyuta

    Some how nimekupata
  13. C

    JamiiForums Tanzania Askari polisi waanza kuchalaza wananchi bakora

    Acha wa uwawe tu maana ndio njia wamechagua kutatua tatizo
  14. C

    JamiiForums Tanzania Hii dharau ya Dkt. Norman Sigala haivumiliki akiweza aitafakari upya na aombe radhi kwa kupitiwa

    Ongea point za kiume, anachuki binafsi kwa mkuu wa nchi ulisikia wanagombea Demu? Katoa HOJA na wewe jibu kwa HOJA acheni utoto.
  15. C

    JamiiForums Tanzania Hii dharau ya Dkt. Norman Sigala haivumiliki akiweza aitafakari upya na aombe radhi kwa kupitiwa

    Huko zilipendwa niliamini kwamba ELIMU ya Tanzania haijamuandaa kijana kujiajiri hata yule aliyeweza kuhitimu kidato cha 6. Lakini sasa nimebaini kwamba waathirika sio hao tu kumbe na wale wote wanaojiita wasomi sijui madoctors na maprofesas ndio kama huyo dkt Sigalla na wenzake wameshindwa...
Back
Top Bottom