mwanaludewa
JF-Expert Member
- Apr 4, 2017
- 764
- 524
Tuletee huku Ludewa ya Njombe maana matikiti kwetu hatuyajui!Sana yakikomaa nakuja mjini.Nione usafiri wa mwendokasi😀😀😀😀😀😀

Ccm na ujinga ni kama maji na samaki ndani ya bwana
Agizo la chama tawala (Act)Lowassa ameshawaambukiza upuuzi wa ccm.
CHADEMA ya sasa ni mbovu kuliko ccm ya Kikwete.
Tamko la kamanda Wema vipi...au kipimo kile kimemyumbisha!
Watu wenye akili walishaachana na cdm mapema na kujiunga ACT wazalendo chama makini.
Wamebakiza kiki za you tube na kisutuLowassa ameshawaambukiza upuuzi wa ccm.
CHADEMA ya sasa ni mbovu kuliko ccm ya Kikwete.
Tamko la kamanda Wema vipi...au kipimo kile kimemyumbisha!
Watu wenye akili walishaachana na cdm mapema na kujiunga ACT wazalendo chama makini.
Narudia acha uongo we sema aliyekudanganya access ya matokeo alikuwa nayo yeye tu nani?Rafiki dunia ni kama kijiji,,naweza kuwa huku shamba but info zinazotokea kokote nikazipata tena fully,,,,wangapi wako na ulafi wa wanawake mbona hawafi and kwa nini afe wakati zimebaki siku chache tu uchaguzi ufanyike? and then why wamkate vidole? Kwa mtu anae fikiri mchezo uko wazi kabisa.
Nimemsikia mwanasheria mkuu wa CDM akisema kuwa wao kama chama walimuunga mkono mgombea wa urais kupitia chama tawala nchini kenya na kwamba kimsingi wamefurahishwa na ushindi wake wa urais nchini humo.
Ifahamike kuwa uchaguzi huu umekuwa na dosari kadhaa kabla na wakati wa uchaguzi. Dosari ambazo huku kwetu hazijawahi tokea. Siku chache kabla ya uchaguzi, mkuu wa IT wa tume ya uchaguzi nchini humo aliuawa kinyama.
Inasemekana mtu huyu ndie alokuwa na password ya data base za IT na kifo chake kimehusishwa na uchaguzi huu.Ilipofika siku ya uchaguzi upinzani uligundua kutokea kwa udukuzi katika data base ya IEBC na kutoa taarifa lakini hakuna hatua iliyo chukuliwa badala yake waliambiwa kuwa kama hawaridhishwi na matokeo waende mahakamani na tume ikaendelea kutangaza matokeo.
Swali fikirishi,kwa nini Musando afe siku chache kabla ya uchaguzi? na kwa nini muuaji achukue vidole vyake? Unaweza pata connection kuwa inawezekana kweli kuna mchezo mchafu ulifanyika kwenye data base ya IEBC though hatuna uhakika.
Wapinzani waliomba issue ndogo tu, waruhusiwe kuangalia taarifa za matokeo direct kwenye data base lakini walikataliwa.Kwa nini wakataliwe ? mimi na wewe hatujui
Maswali ninayo jiuliza;
unawezaje kumsupport mtu ambae wapinzani wanadai kaiba kura? Wewe ni mpinzani 2020 unatazamia kuingia kwenye vita kama alokua nayo mpinzani mwenzako leo,vipi huo wembe ulomyoa mwenzio leo ukikunyoa 2020, utalalamika?
Uchaguzi hauwi huru na haki kwa kuwaruhusu wafungwa na diaspora kupiga kura tu, bali unakuwa huru na haki katika hatua zote za uandikishaji, kampeni, upigaji wa kura, kuhesabu na kutoa matokeo.
Kwa hawa wenzetu kutokana na madai ya upinzani kulikwa na tatizo katika kuhesabu kura za urais ndio maana waliomba access katika data base za IEBC wakanyimwa. Jiulize kwa nini walinyimwa.
Mwisho niwashauri ndugu zangu hawa kabla hawaja toa matamko wawe wanafanya uchunguzi wa kutosha,si vema kutoa tamko leo afu kesho likakugharimu.
Wajifunze kutokana na makosa yao wenyewe:
-2008 lowasa fisadi;2015 wanamsafisha.
-2005-2015 Rais wa awamu ya nne dhaifu 2017 wanamsifia kuwa alikuwa rais bora sana
-Kabla ya 2015 walisema wanataka rais mkali atakae simamia nchi;leo Kaja JPM wanaanza kulia
Kinachokushaza ni kipi? SijakuelewaNimemsikia mwanasheria mkuu wa CDM akisema kuwa wao kama chama walimuunga mkono mgombea wa urais kupitia chama tawala nchini kenya na kwamba kimsingi wamefurahishwa na ushindi wake wa urais nchini humo.
Ifahamike kuwa uchaguzi huu umekuwa na dosari kadhaa kabla na wakati wa uchaguzi. Dosari ambazo huku kwetu hazijawahi tokea. Siku chache kabla ya uchaguzi, mkuu wa IT wa tume ya uchaguzi nchini humo aliuawa kinyama.
Inasemekana mtu huyu ndie alokuwa na password ya data base za IT na kifo chake kimehusishwa na uchaguzi huu.Ilipofika siku ya uchaguzi upinzani uligundua kutokea kwa udukuzi katika data base ya IEBC na kutoa taarifa lakini hakuna hatua iliyo chukuliwa badala yake waliambiwa kuwa kama hawaridhishwi na matokeo waende mahakamani na tume ikaendelea kutangaza matokeo.
Swali fikirishi,kwa nini Musando afe siku chache kabla ya uchaguzi? na kwa nini muuaji achukue vidole vyake? Unaweza pata connection kuwa inawezekana kweli kuna mchezo mchafu ulifanyika kwenye data base ya IEBC though hatuna uhakika.
Wapinzani waliomba issue ndogo tu, waruhusiwe kuangalia taarifa za matokeo direct kwenye data base lakini walikataliwa.Kwa nini wakataliwe ? mimi na wewe hatujui
Maswali ninayo jiuliza;
unawezaje kumsupport mtu ambae wapinzani wanadai kaiba kura? Wewe ni mpinzani 2020 unatazamia kuingia kwenye vita kama alokua nayo mpinzani mwenzako leo,vipi huo wembe ulomyoa mwenzio leo ukikunyoa 2020, utalalamika?
Uchaguzi hauwi huru na haki kwa kuwaruhusu wafungwa na diaspora kupiga kura tu, bali unakuwa huru na haki katika hatua zote za uandikishaji, kampeni, upigaji wa kura, kuhesabu na kutoa matokeo.
Kwa hawa wenzetu kutokana na madai ya upinzani kulikwa na tatizo katika kuhesabu kura za urais ndio maana waliomba access katika data base za IEBC wakanyimwa. Jiulize kwa nini walinyimwa.
Mwisho niwashauri ndugu zangu hawa kabla hawaja toa matamko wawe wanafanya uchunguzi wa kutosha,si vema kutoa tamko leo afu kesho likakugharimu.
Wajifunze kutokana na makosa yao wenyewe:
-2008 lowasa fisadi;2015 wanamsafisha.
-2005-2015 Rais wa awamu ya nne dhaifu 2017 wanamsifia kuwa alikuwa rais bora sana
-Kabla ya 2015 walisema wanataka rais mkali atakae simamia nchi;leo Kaja JPM wanaanza kulia
Tukiachilia mbali mengine wana ccm wameumia sana kushinda hata wakenyaKama Odinga nae na chama chake waliipongeza CCM wote wapumbavu tu kama Chadema tu.Kama nilivyosema wanabase kwenye urafiki wa mtu na mtu na siyo maslahi ya Taifa zao.Ndo maana narudia tena kusema Chadema kamwe hawatakaa washinde.Hawajui kusimama na Taifa .
Nyie kutukana imeshakuwa kuwa kiki kwenu tukana tu.But teh reality is nyie sio wa kusupport chama tawala Kenya nyie ni wapinzani.Mnaonesha jinsi msivyo kuwa na sera kama chama 2012 MLIKUWA upande wa ODM na Raila this time ghafla mmeshika urafiki na Jubilee.wapi na wapi.Ngoja Kenyata akija bongo mtamsusia tena sijui mtahamia wapi,,,,,Ww usilete upumbavu wa kijinga nyie majizi makubwa kabisa huna hata aibu ,ccm niyakutolea mfano toka lini au huwa mnawashwa kutukanwa?
Sent using Jamii Forums mobile app
ulikuwepo?Pole pole acha uongo. Uchaguzi wa Kenya ulikuwa super kabisa. Siku Tz tukifanyia hivyo mkubwa ataanguka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Imevamiwa na nani?Tatizo lenu mmezoea kukopi na kupaste,,,Katiba ya Kenya sio ya Tanzania .Kenya katiba yao na sheria za uchaguzi zinawaruhusu kuwa na talying center.And funny enough pamoja na ruhusa hiyo bado Tallying center ya NASA ilivamiwa,,kwa nini? fOOD FOR MIND