SAKATA LA MADINI: Karamagi ahoji, nisaidie nini ?

Je ni kweli hajui asaidie nini kwa mjibu mapendekezo ya kamati ya pili na maamuzi ya Rais.......
f096deae033eb33ad3eaf97795352c4c.jpg

d3f99910c97c1e2dacd4ae9d2b75974c.jpg
Je ni kweli hajui asaidie nini kwa mjibu mapendekezo ya kamati ya pili na maamuzi ya Rais.......
f096deae033eb33ad3eaf97795352c4c.jpg

d3f99910c97c1e2dacd4ae9d2b75974c.jpg





Lowassa amewapa darasa zuri, hakuna waziri au yeyote atakayechukuliwa hatua za kisheria katika swala, labda tu wamuonee na kulazimisha ili waonekane angalau. waziri hasaini mikataba kwa utashi wake bali kwa utashi wa baraza la mawaziri na Rais. Acheni ushabiki vijana wa kitanzania
 
Hiyo si lugha nzuri - kuwa mstarabu, kwani lugha za akina chenge ni zipi???

Lugha za akina LISSU ni zipi???

Lugha za akina Saitoti ni zipi

Acha kufananisha anachouliza karamagi na kabila la wahaya!!!
Teh teh mtu kwao.
 
Vizuri waendelee kuyaongea yoyote ili wamfanye Rais aweze kudeal nao vizuri, kama mfano.

Huyo kaongea kwa dharau sana sana, yaani hawampati kwa lolote... inasikitisha.

Sasa Rais atuonyeshe kwa hawa vigogo kama kweli aaweza kusimamia kutetea anayohaidi k8la siku juu ya nchi hii na wanyonge.
 
Kuna sheria inayoruhusu waziri kubeba mihuri ya ofisi na kwenda kusaini mikataba hotelini mjini London Uingereza?
Kamaa maagizo kutoka juu yalimruhusu kuna shida gan? Muhurii unagongewaa tuu popote masalani wazeee wamekubaliana
 
Achana nae uyo tulipwe izo trillion afu tumpe magufuli uraisi wa milele washenzi tuachane nao,
 
Back
Top Bottom