johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,636
Tusiwaonee wazanzibariMi nawashauri wawapeleleze wazanzibar, wanaweza kuwa na visasi na mambo mbalimbali Bara!
Tusiwaonee wazanzibariMi nawashauri wawapeleleze wazanzibar, wanaweza kuwa na visasi na mambo mbalimbali Bara!
Kwani kuwapeleleza ni kuwaonea?Tusiwaonee wazanzibari
Habari za jioni,
Baada ya tukio la kuuliwa askari wetu, jana nilishuhudia kwa macho yangu mwenyewe baadhi ya vijana wakiwa wamelazwa chini huku wakichapwa bakora. Leo hii watu hapa bungu wanachapwa ovyo mtaani. Hii sio haki kabisa.
Ili kupata suluhisho la tatizo hili polisi na vyombo vyetu vya usalama vitumie ueledi wa hali ya juu kabisa.
Acha ubazazi. Sorry for saying so.Hawawezi kuwapiga bila sababu,
acha kuwafundisha kazi polisi, waacheni wafanye kazi yao.
Hivi kwanini hamuoni mema wanayofanya..mnaona mabaya tu.
Roho imeniuma sana kuuliwa kwa polisi wetu. Mungu ingilia kati.
Habari za jioni,
Baada ya tukio la kuuliwa askari wetu, jana nilishuhudia kwa macho yangu mwenyewe baadhi ya vijana wakiwa wamelazwa chini huku wakichapwa bakora. Leo hii watu hapa bungu wanachapwa ovyo mtaani. Hii sio haki kabisa.
Ili kupata suluhisho la tatizo hili polisi na vyombo vyetu vya usalama vitumie ueledi wa hali ya juu kabisa.
Yani ni kulaani tuTunalaani mauaji yalifanyika kwa polisi kuuliwa pia tunalaani watu wasiokuwa na hatia kuchalazwa bakora..!
Hivi ili kujiunga na jeshi la polic unahitaji kuwa na division gani vile? mmh!
Acha wa uwawe tu maana ndio njia wamechagua kutatua tatizoKwa staili hiyo wasahau kupewa ushirikiano.
Hawa askari ndo maana wakipatwa na majanga watu wanafurahi,sa kuwapiga raia wasokua na hatia ndo suluhisho? hivi kweli mtu gani mwenye akili timamu apige tukio baya km lile tena kuua nguvu ya dola halafu abaki kijijini hpo hpo? inauma kupoteza askari wetu but inauma zaidi kuona raia wema wanapigwa bila makosa..Habari za jioni,
Baada ya tukio la kuuliwa askari wetu, jana nilishuhudia kwa macho yangu mwenyewe baadhi ya vijana wakiwa wamelazwa chini huku wakichapwa bakora. Leo hii watu hapa bungu wanachapwa ovyo mtaani. Hii sio haki kabisa.
Ili kupata suluhisho la tatizo hili polisi na vyombo vyetu vya usalama vitumie ueledi wa hali ya juu kabisa.
Tatizo la askari wengi wa africa hasa tanzania ni kutumia nguvu kiliko akili kitu ambacho kitawafanya kila kitu kifail maana nguvu ni nyngi bila akili wala mbinuKwa staili hiyo wasahau kupewa ushirikiano.
Zero au four.Hivi ili kujiunga na jeshi la polic unahitaji kuwa na division gani vile? mmh!
Mhariri njoo hapaAcha ubazazi. Sorry for saying so.
Kazi na juhudi za polisi kuja hapa bungu na maeneo ya jirani ni jambo jema sana kwetu sisi wakazi wa eneo hili. Hakuna sheria ya polisi kumchapa mtu bakora tena mtu ametii amri.
Sakata zima unalifahamu mkuu???? Au unajua tu vifo vya vijana/kaka zetu polisi?
Tangu lini wasimamia sheria wakapendwa na wahalifu kokote duniani ?Sasa ndio nimejua vizuri ni kwanini wananchi huwa wanashangilia sana kila wakisikia kuna Polisi wameuwawa, kujeruhiwa au Kubakwa..
Ingia jeshini ukasaidie kufundisha intelligence maana hapa jf hua mnajifanya mnajua kila kitu kwa sababu mna-type kwa urahisi na fake ID.Hizi ni akili ndogo na za kizamani na za kipuuzi! Kama unajua kuwa hao Wananchi wanaishi na wahalifu then utawajua na wahalifu! Nini kinachokuhakikishia kuwa hao wahalifu wamo uraiani? Badala yake hapo ndo pa kuacha kuwafuatilia Wahalifu husika na kuwaonea Raia! Li wapi jeshi la Polisi linalojisifu kwa Intelligence? Kwa Intelligence yenye akili wangedraft theories za kutosha na wangewapata wahalifu bila ya wasiohusika!