Achana na mambo yasiyokuhusu, zungumzia CHAMA ulichokuwamo jinsi kinavyoendesha mambo yake, kwa kukosoa au kusifia, lakini mambo ya wengine hayatakusaidia kujiimarisha zaidi unajidhalisha tu, we mtoa mada.
Pangua hoja za ESCROW, ufisadi CCM na serikali yake, EPA, na kulazimisha rasimu ya Katiba...