Mtikila aomba kuunganishwa kesi ya Kafulila

Ile m3 walikopeshana kirafiki, siasa ilipowatofautisha ndipo Rostam akafichua vitu nje ya siasa, we vip bwana!

Hajadaiwa ile wala hajalipa lakini aliufyata paka leo hii, hajamtaja tena Rostam. Cheza na kichwa kile.
 
Wacha porojo wewe, nani anaeteseka? wewe ulimsaidia vipi huyo anaeteseka?

Mikataba? kuna mkataba mbovu zaidi ya chama kuuziwa fuso chakavu mbili kwa millioni mia sita?
haa haa, hapo hauna funga, ni unafiki tupu, tafuta namna ya kuifidia hiyo funga yako, vinginevyo....
 
Mtikila ameonyesha moyo wa uzalendo kwa watanzania masikini na nchi kiujumla! Watanzania wengi tunaopenda ukweli tuko nyuma yake..
 
Hajadaiwa ile wala hajalipa lakini aliufyata paka leo hii, hajamtaja tena Rostam. Cheza na kichwa kile.
teh teh, kwa hiyo rostam na mtikila, rostam zaid? Kwa lipi? Labda pesa, lakini kama mengine hapana!
 
Kiboko yake huyo ni Rostam, alivyomletea za kuleta, Rostam akatoa ushahidi wa yeye kupewa pesa na Rostam na kasaini. Toka siku hiyo kimya, hajamtaja tena Rostam

Ukiwa muongo inataka uwe na kumbukumbu.

Hapo anajidhihirisha kuwa he is simply an opportunist.

Duuuh!
Yaani badala ya kuongelea mada, unaongelea mambo binafsi ambayo hayahusiania mustakabali wa fedha za wa Tanzania!
Sidhani kama una msaada kwa Tanzania na watu wake maskini wanaonyonywa.
 
Wacha porojo wewe, nani anaeteseka? wewe ulimsaidia vipi huyo anaeteseka?

Mikataba? kuna mkataba mbovu zaidi ya chama kuuziwa fuso chakavu mbili kwa millioni mia sita?

Sometimes unajitoaka akili na kuwa na akili za mavi
 
Ha ha ha huyu jamaa kama Mpare bana kwa kupenda kesi

Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
Mkuu sio kwamba wapare tunapenda kesi tunachotaka ni haki itendeke! i like the spirit hata kama ni mimi ningekuwa na nondo (ushahidi ) kama kina kafulila ningeomba nijumuishwe
 
Wacha porojo wewe, nani anaeteseka? wewe ulimsaidia vipi huyo anaeteseka?

Mikataba? kuna mkataba mbovu zaidi ya chama kuuziwa fuso chakavu mbili kwa millioni mia sita?
acha upuuzi wako wewe, jitahidi uwe na akili kidogo tu wakati mwingine, usittoe kwenye mjadala hapa.
 
Kiboko yake huyo ni Rostam, alivyomletea za kuleta, Rostam akatoa ushahidi wa yeye kupewa pesa na Rostam na kasaini. Toka siku hiyo kimya, hajamtaja tena Rostam

Ukiwa muongo inataka uwe na kumbukumbu.

Hapo anajidhihirisha kuwa he is simply an opportunist.

tatizo lako we kivuruge sioni fahari kuwa chama kimoja na ww
 
FF keshalamba sehemu ya hizo hela ndio maana anakuwa mkali na kuanza kutoa yaliyojiri kabla. Hapa kashtakiwa mtu na nadaiwa hela zaidi ya ile aliyoilalamikia. Kapata wa kumuunga mkono. Sisi tunawaunga mkono wakatetee maslahi ya wananchi. Hata kama Mtikila atakatiwa posho baadaye lakini kazi ya kutafuta ukweli na haki kutolewa itakuwa imeshafanyika! maana upande wa pili ukiona umeelemewa utaanza kununua wa upande mwingine! Hii ni Bongo..akili kichwani.
 
Kiboko yake huyo ni Rostam, alivyomletea za kuleta, Rostam akatoa ushahidi wa yeye kupewa pesa na Rostam na kasaini. Toka siku hiyo kimya, hajamtaja tena Rostam

Ukiwa muongo inataka uwe na kumbukumbu.

Hapo anajidhihirisha kuwa he is simply an opportunist.

Bibi upo hvi unapatikana wapi nije kusheherekea sikukuu ya IDD?
 
Wacha porojo wewe, nani anaeteseka? wewe ulimsaidia vipi huyo anaeteseka?

Mikataba? kuna mkataba mbovu zaidi ya chama kuuziwa fuso chakavu mbili kwa millioni mia sita?

Kungwi Feiza Foxy upoooooo??
 
ana kesi kafungua dhidi ya askofu gani sijui kuwa alimpapasa makalio hivyo amemsababishia wasiwasi ,mshtuko wa moyo na woga ..hahaaa huyu mzee bana
 
Kiboko yake huyo ni Rostam, alivyomletea za kuleta, Rostam akatoa ushahidi wa yeye kupewa pesa na Rostam na kasaini. Toka siku hiyo kimya, hajamtaja tena Rostam

Ukiwa muongo inataka uwe na kumbukumbu.

Hapo anajidhihirisha kuwa he is simply an opportunist.

it is not an easy way to trust on this guy,he is a change man
ndio maana chama makini km chadema huwa kinachukulia kwa tahadhari kubwa
brave MBOWE brave dr slaa brave Lissu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom