Je, Polisi wakiua ni sawa?

Je, Polisi wakiua ni sawa?

polisi hana mamlaka hiyo mkuu hii ni ichi yenye kutii sheria na taratibu sasa kama tutauana kiivo sijui

Naaomba siku moja auliwe mwanao, mkeo, baba yako na mama yako alafu muuaji akamatwe umtetee kama unavyowatetea hao ndgu zako waliopiga stakishari
 
1. Hivi mtu aliyebeba silaha kwa nia ovu unajiridhisha vipi kuwa huyu tayari ka sarenda na hii sarenda yeke sio mtego???!!!
2. Kuna vitu vingine ni kama sumu "utaijua" wakati au imekudhuru wewe au mwingine. . . . . . .
Siwatetei wahalifu, hapana. Ila nasema tufuate kama tulivyofundishwa namna ya kumkamata mhalifu- kama kuna uwezekano wa kufanya hivyo
 
Back
Top Bottom