Recent content by celex

  1. celex

    JamiiForums Tanzania Hatimaye K Lyn (Jacqueline Ntuyabaliwe) achumbiwa na Reginald Mengi

    maneno ya mkosaji hayo.
  2. celex

    JamiiForums Tanzania Ni filamu gani ya kutisha ambayo unaikubali

    walking dead ni series
  3. celex

    JamiiForums Tanzania Ni filamu gani ya kutisha ambayo unaikubali

    wrong turn 5 na 6 pia zimetoka
  4. celex

    JamiiForums Tanzania Ni filamu gani ya kutisha ambayo unaikubali

    ni nzuri saaaaana naipenda
  5. celex

    JamiiForums Tanzania Ni filamu gani ya kutisha ambayo unaikubali

    walking dead
  6. celex

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi wa Chuo Kikuu anapocheza 'gemu' kwenye kompyuta!

    mbona tulicheza sana Zuma chuo na kuangalia mamovie na series sio kila muda wa kusoma unahitaji kurelax wakati mwingine so ni jambo la kawaida sana.
  7. celex

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Tumempoteza mwana JamiiForums mwenzetu, bwana Lengeju Bob

    Rest in Peace Classmate.
  8. celex

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hii ni kwa wanaume Wote

    MstahikiMeya ha ha ha ha ha!
  9. celex

    JamiiForums Tanzania Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)

    naomba contacts zako nahitaji kufahamu zaidi kuhusu Aliexpress na mimi niagize mzigo
  10. celex

    JamiiForums Tanzania Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)

    please naomba namba yako nahitaji kukuuliza maswahili zaidi kuhusu Amazon
  11. celex

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nilipotelewa na Bag langu ndani ya basi la Abood

    pole sana ila siku nyingine utajifunza kuwa makini ukisafiri utunze bag lako vizuri kama umebeba vitu vya thamani.Wezi wako wengi sana siku hizi ni mara nyingi nikipanda Abood huwa dereva au konda anatangaza kuna watu wanawaibia wenzao mabag wanajifanya ni mabag yao wakiiba wanashukia...
  12. celex

    JamiiForums Tanzania Taratibu za kufuata ili kumiliki Silaha ya Moto Tanzania

    sheria yoyote ambayo inabagua jinsia inapingana na katiba ambayo imeprovide for equality kwa wote,kama mwanamke anavigezo vya kumiliki silaha anayohaki ya kumiliki kama mwanaume.
  13. celex

    JamiiForums Tanzania Majina HESLB yaongezwa

    naomba unisaidie kuchek S0284/0061/2011
  14. celex

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Demu wangu kaenda chuo!

    kuwa muhuni ni tabia ya mtu sio kweli kwamba wasichana wote wa chuo ni malaya.Mbona wapo wengi wanaojiheshimu wanajua kilichowapeleka ni kusoma.Muache asome kua na positive attitude atamaliza tu salama.
  15. celex

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaoolewa ni darasa la saba na form 4

    na bado hata hao wa la 7 na form 4 siku hizi wanajiendeleza kielimu unamuoa kaishia form baadae utamuona mdogomdogo anajiendeleza wameshawachoka hamtaki wafanye kazi hata nguo na mafuta ya nywele hamuwanunulii mnategemea awe goal keeper mpaka lini?
Back
Top Bottom