nazile condom.mbona ujasema.
sema vyote.uletewe
Mi ni mtumiaji wa usafiri huo kutoka Moro kuja Dar na Dar kwenda Moro, Aboud bus is the best choice ndani hakuna konda wala biashara za karanga zaidi tu ya wale wakaguzi pale chalinze ambao daima hukagua abiria wasio na tiketi na waliokaa chini au kusimama, sasa issue iko hivi.
Mara nyingi abiria akitua ndani basi vibegi huwekwa kwenye carrier hata akina mama nimeona wana mazoea hayo, alafu unakuta abiria anachomoa smartphone yake anaaingia viber, whatsapp, fb, etc anachati safari nzima hana mpango yeye ni raha tu na earphone masikioni,.
Na wakati mwingine umekaa na abiria huyo huyo hakyuna cha salamu wala nini, kwahyo mwizi wako wa kwanza ni abiria uliekaa nae ulikuwa na uhusiano gani ukiwa safarini, na pia wengi hupachika begi mahali ambapo sio sehermu aliyokaaa hivo lolite lile laweza kutokea wakati wa kushuka.
Abiria uwepo makini kila unapotumia usafiri huu wa umma kwani hakuna atakayekuwa na msaada wa karibu kutoa majibu ya tatizo lako la upotevu wa mali zako.
Safari za kupoteza begi ndani ya basi ni kesi ambayo wewe mteja ndio unahusika.
Jichunguze ulivyosafiri na ulipachika wapi na ulianzia safari msamvu kwa tiketi au ulidandia tu njiani.
Pole sana aissseeeeee
Habari zenu ndugu zangu wanajf! Naomba niende moja kwa moja kwenye mada yenyewe.
Ukweli ni kwamba, Mnamo tarehe 13/10/2014 nilipotelewa na Bag langu ndani ya basi la Abood. Nilikua natokea moro kuingia Dar, nilikuja kujua na kutambua ya kwamba sikua na bag ni baada ya kufika ubungo.
Ndani ya bag kulikua na laptop, vitambulisho vyangu (nhif, psptb, driving license, kitambulisho cha mdogo wangu mali ya university of Dar es salaam) pia lilikua na picha zangu mbili, fungua za Gheto langu, statement result yangu, flash nne (3 ni 4GB na 1 ni 1GB) nk.
Kama kuna Mwanajamiiforums atakuwa ameviona popote tafadhali naomba nifahamishe ama vipileke kwenye kituo chochote cha polisi ama kwenye ofisi yeyote inayohusiana na document zangu.
Ninaitwa EMMANUEL MKWAMA
Kwa mawasiliano napatikanika katika namba zifuatazo 0717568496 / 0786758268
email natumia, emkwama@ymail.com
emkwama@gmail.com
pole mkuu! hilo jambo lipo! ukipanda na begi kuna wanaoshuka nalo
Mkuu pole sana.Umetoa loss report polisi?
Pole sana mwanabodi
nashukuru mkuu,kiukweli jamaa wamenirudisha nyuma.ila natangaza vita dhidi yao rasmi