Recent content by Celestin Kamonalelo

  1. C

    JamiiForums Tanzania Nini kinamliza mwanamke kitandani?

    Dah!natamani kukufahamu aisee......mchaga kweli??
  2. C

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Kilombero(CHADEMA) Mh. Lijualikali, afungwa jela miezi sita

    Weka hapa hiyo sheria tujiridhishe mkuu.
  3. C

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Kilombero(CHADEMA) Mh. Lijualikali, afungwa jela miezi sita

    Hujakurupuka kweli?
  4. C

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kuepuka Kuibiwa Mafuta Unapojaza.....

    Hhahahaaaaa.......we mkali
  5. C

    JamiiForums Tanzania Mauaji Florida Airport, wengi wafariki

    Kumbuka ni binadamu tu kama wewe. Na pia sio kila anayeuawa marekani ni mmarekani.Tatu,usijidanganye kuwa wamarekani wote wana mtazamo mmoja.
  6. C

    JamiiForums Tanzania Watu weusi waliwakosea nini Waisrael

    Kwanini unahisi hawatupendi?nini kinaashiria kuwa wanatuchukia?
  7. C

    JamiiForums Tanzania Mugabe asweka ndani mashoga hadi washike ujauzito

    Kaka jaribu kutafuta katiba ya Zimbabwe uone kama inampa uwezo Rais kuadhibu kama alivyofanya Mugabe.Ukipata jibu uje utuambie ulikuwa sahihi au la kukasirika kwa kitendo alichofanya Mugabe.
  8. C

    JamiiForums Tanzania  Mbunge kahoji mbele Waziri Nchemba kwanini hapigiwi saluti na polisi?

    Sitegemei kwamba hilo tu ndilo alilozungumzia kwa muda wote alioutumia jukwaani.Labda mleta mada kaona hilo lina umuhimu zaidi kutushirikisha hapa
  9. C

    JamiiForums Tanzania Hakunaga kama Kikwete! Hivi ndivyo ilivyokuwa mwaka mpya kule Msoga

    Hukufundishwa hivi.....sema huu ndo ukomo wako wa kumwelewa mwalimu wako na kujifunza
  10. C

    JamiiForums Tanzania Hili la shule ya CCM kutaifishwa ni kipimo cha akili zetu za kutafakari mambo

    Kwani Mheshimiwa alipotangaza uamuzi huo hakutoa sababu?? Nakumbuka pia kuliwahi kuzuka mjadala humu ndani kwanini shule hii inayomilikiwa na Chama Cha Mapinduzi imekarabatiwa kwa pesa za michango kwa ajili ya waathirika wa tetemeko la ardhi.Yawezekana uamuzi huu ni kuhalalisha ukarabati huo...
  11. C

    JamiiForums Tanzania Kuhamia Dodoma vipi?

    Kwani ratiba ilikuwaje
Back
Top Bottom