denoo49
JF-Expert Member
- Mar 29, 2011
- 6,113
- 6,953
Kama filamu ya afande Kova na Ulimboka via mkenya kichaa.Media za marekani zinaweza kublind, hili shambulio lingekua limetokea Ulaya like ufaransa wangesema la kigaidi,ila huyo jamaa wanasema 'MAUAJI' NA MUUAJI NI CHIZI[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]