TANZIA: Anna Senkoro, mwanamke wa kwanza kugombea Urais nchini Tanzania(2005), afariki dunia

Taarifa haijitoshelezi. Tulia uandike vizuri na kuleta maelezo ya kina. Who, what, why, when, where and how are key questions when addressing such an important report to the public.

Nasubiria taarifa kamili.
Haina ulazima, taarifa itaripotiwa tu na wenye taaluma hiyo.
 
image044.jpg
Ni mpare huyu bila shaka kwa jina lake
 
Nenda mwana kwenda,bidii ulionesha,Hakika ulijitosa,yako haki kutimiza,jina nawe ukatia elfu mbili na tano,kuutaka urais nchi yako kuijenga,ilikuwa ni msingi wa kuonesha usawa.
 
APUMZIKE KWA AMANI. Namkumbuka sana huyu mama 2005 kupitia APPT-MAENDELEO. Kipindi hicho ndipo helicopter ya Mbowe ikiwa ya kwanza pia kwenye kampeni.

Nakumbuka pia majungu ya Makamba kuwa kati ya wagombea 10 wa urais zaid ya nusu wanatokea kanda......

Nakumbuka mdahalo mkali na JK alishiriki

Nakumbuka Mbowe alitumia background ya bendera ya taifa kwenye poster zake. Wale waliojimilikisha nchi wakaanzisha zengwe
 
Umeandika yooteee lakini ukasahau kuandika kuwa baada ya kubanwa njaa aliamua kukimbilia UGAMBANI.. So naye ni GAMBA kama kawaida ila sijui kama alikatwa mkia!!!
 
Nakumbuka pia majungu ya Makamba kuwa kati ya wagombea 10 wa urais zaid ya nusu wanatokea kanda......

Nakumbuka mdahalo mkali na JK alishiriki

Nakumbuka Mbowe alitumia background ya bendera ya taifa kwenye poster zake. Wale waliojimilikisha nchi wakaanzisha zengwe
Wakati huo bendera ya chadema ilikuwa na rangi moja (purple).
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom