Kuhamia Dodoma vipi?

abdulrahim

JF-Expert Member
Aug 13, 2012
408
286
Habari za Jioni wakuu!

Hivi ile track ya The Dream team Kuhamia makao makuu ya Bendi (KWENYE ZABIBU) production ilikwishaisha ama vipi?

Maana sijasikia uzinduzi wake na muda unatutupa mkono... Wafanye hima basi walau tuweze kupata parking za karibu na vijiweni mwetu.
 
Hakuna atakayehamia Dodoma, zile zilikuwa siasa tu na wawekezaji wasiotumia historia katika maamuzi yao walikimbizana Dodoma kununua ardhi na nyumba...sasa haviuziki. PM alisakiziwa aende huko akajikuta akifanya kazi za mkuu wa mkoa, akaona isiwe shida sasa anafanya ziara mikoani kusaka faru. Tumeharibikiwa sio kidogo!
 
Hukuona mchanganuo wa awamu za kuhamia Dodoma au Waswahili huwa mnataka kuongea tu?

Hukuona barua ya Muhongo kubatilisha uamuzi wa Tanecno + Ewura address ya Waziri Mkuu ilisoma wapi?
 
Habari za Jioni wakuu!
Hivi ile track ya The Dream team Kuhamia makao makuu ya Bendi (KWENYE ZABIBU) production ilikwishaisha ama vipi?
Maana sijasikia uzinduzi wake na muda unatutupa mkono... Wafanye hima basi walau tuweze kupata parking za karibu na vijiweni mwetu.

Hakuna atakayehamia Dodoma, zile zilikuwa siasa tu na wawekezaji wasiotumia historia katika maamuzi yao walikimbizana Dodoma kununua ardhi na nyumba...sasa haviuziki. PM alisakiziwa aende huko akajikuta akifanya kazi za mkuu wa mkoa, akaona isiwe shida sasa anafanya ziara mikoani kusaka faru. Tumeharibikiwa sio kidogo!
Kwani ratiba ilikuwaje
 
Mmmeamia kwenye jingne tena.....AISEEH NYIE MNA LAANA KWELI.....hivi kwanini mnapenda kuona NCHI HII inashindwa kwenye mambo yaliyo mema??????KAMA VILE SI WATANZANIA.....
 
Kuna wimbo wa kitambo sijui aliimba nani (huenda Remi Ongala) anadai Dar es Salaam tutabanana hapa hapa. Dodoma tunakwenda na kurudi.
Labda wameshahamia kwa hisia.
 
Dodoma iko pale pale.Lazima kuhakikisha usalama wa Rais wetu kwanza kabla ya mtu yeyote mwingine.Na watanue barabara ya Dar-Dom kutakuwa na movements/ajali sana za magari watumishi wengi waliobakiza muda mfupi kwenye ajira hawatahama na familia zao na hivyo kutaka kurudi Dar mara kwa mara ijumaa jioni kuona familia na "mambo" yao mengine.
 
naomba hii thread iwe maalum,

kama kuna mwenye picha za ujenzi wowote unaoendelea wa majengo na miundombinu mingine kama umeme, maji na barabara aweke tuamini, sisi wengine tuko mbali huku somanga
 
Habari za Jioni wakuu!
Hivi ile track ya The Dream team Kuhamia makao makuu ya Bendi (KWENYE ZABIBU) production ilikwishaisha ama vipi?
Maana sijasikia uzinduzi wake na muda unatutupa mkono... Wafanye hima basi walau tuweze kupata parking za karibu na vijiweni mwetu.
Kuna mtu aliahidi atahamia ndani ya Mwezi mmoja so tunasubiri ahamie yy ndio tufuate I love Tanzania
 
hatutakiwi kuwa na haraka tuna muda wa kutosha mpaka 2020, mara ooooo dodoma viwanja vimepanda bei cha ajabu wale walotangaza kuhamia dom tunapishana nao daily.
 
kuhamia dodoma hakuwezi kuonekana JF,wenzenu wanafuata ratiba iliotangazwa,ole wake atakaekiuka
 
Back
Top Bottom