Love is blind! Ko usiufuatemoyo wako tu... Tumia akili kuchanganua kinachotokea. Anampango gani nawe? Ni kwamba uwe mchepuko tu au anatako akuweke mke wa pili au vipi? Wengi hawawaachagi wake zao ko usijifariji sana ata akikwambia hivyo.
Ni kukosa maarifa tu! Kwanini uongeze wa pili kama unaona ni kikwazo kwako?
Kuna jirani yetu ana wake wawili na anamaendeleo mazuri tu!!! Kajenga jumba lake gorofa, juu anaishi mke wa kwanza na chini mke wa pili, watoto wake wote wako shule za maana na kila mke ana gari na dereva. Sasa wewe...
Swali gumu! Ila "ukubwa wa pua si wingi wa makamasi". Saizi ya uume haijalishi sana ila mwanaume mwenyewe tu, kujua jinsi ya kuutumia na wapi pa kulenga.
Hawa wanaotumia mapungufu ya mtu kumkashifu wakati mmeachana ni kukosa ustaarabu tu! Sionagi kama size inaumuhimu sana kwangu!!!
Najua kuna solutions! Ila kuna a guy out there ame give up on marriage kwasababu ya tatizo hili! Tatizo liko wapi kukubaliana na hali na kusonga mbele? Kama solution tutatafuta pamoja.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.