Msaada wa kurudisha version ya wasap ya zaman

Dah wadau naomba msaada wasap hii update naona ngumu kwangu kutumia
Naomba mnielekeze jinsi ya kirudisha ile ya zaman kwo yeyote anayeweza naomba msaada
Mkuu hata mimi hii update mpya ya whatsapp siielewi kabisa hasa hapa kwenye STATUS ngoja waje wataalamu watueleweshe
 
Dah wadau naomba msaada wasap hii update naona ngumu kwangu kutumia
Naomba mnielekeze jinsi ya kirudisha ile ya zaman kwo yeyote anayeweza naomba msaada
Kwanza uniinstall hiyo version mpya...then ingia Google... Search Whatsapp apk idownload then install kwenye simu yako

NB; Unapodownload hiyo apk angalia version yake ulinganishe na hii mpya iliyopo kwako..kama hiyo version inafanana na hii mpya achana nayo na pakua ya zamani

.Angalia hii picha hapa chini

c924b09f59561c0b284a73c5fcd39c52.jpg
 
Contact nenda kwenye ka alama ka meseji juu kulia
Ningekuwa hata nisinge update. Hii new version inazingua Sion contact
 
Kwanza uniinstall hiyo version mpya...then ingia Google... Search Whatsapp apk idownload then install kwenye simu yako

NB; Unapodownload hiyo apk angalia version yake ulinganishe na hii mpya iliyopo kwako..kama hiyo version inafanana na hii mpya achana nayo na pakua ya zamani

.Angalia hii picha hapa chini

c924b09f59561c0b284a73c5fcd39c52.jpg
Halafu huko tunapoelekea inaonesha whatsapp wanaongeza baadhi ya features kila mara wanapotoa toleo jipya (new version).... SASA CHA KUFANYA NI SIMPLE TU...USIUPDATE WHATSAPP KWENYE GOOGLE PLAYSTORE AU KWENYE APP STORE YAKO TENA NA IKIWEZEKANA FUTA AU ZUIA 'AUTOMATIC UPDATES' ZA APPLICATION KWENYE SETTINGS ZA Playstore and App store...... Kwa kufanya hivi utabaki na Version yako ya zamani ambayo haitokupa shida kuitumia kwa maana utakuwa ume restrict/zuia zile automatic updates.

Nadhani umepata mwanga kidogo hapo!!
 
Kawaida usipo update WhatsApp kwa muda itafika muda inakugomea kabisa kufunguka Mkuu,kama hapa kwenye picha
0c9437f45b45f20434efd52ba8e77127.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom