Aliyekuambia unifuatilie nani?

Aliyekuambia unifuatilie nani?

Habari
Jana katika harakati za kutaka kuchepuka kwa mlupo mmoja ambaye alikunywa bia zangu nyingi. Nilimwita sehemu ya tukio baada ya kutoka kazini huku nikivunga atokee. Kwa kweli hakutokea kabisa japo muda ulisonga sana.

Wife to be alinipigia simu kuna shida gani mbona umechelewa sana. Mimi nikajiuma uma kwamba nimemalizia kazi hapa nipo njiani. Niliondoka eneo la tukio nikiwa na hasira sana. Nikafika home nikachill. Baada ya kama nusu saa akani SMS uko wapi njoo nishafika. Nikatoka nje kwenda kununua vocha japo wife alihisi kuna kitu.

Baadaye nilimdanganya wife nimesahau bahasha ngoja niifuatilie. Nikachukua boda huyo nikaenda sehemu ya tukio. Huwa nina kawaida nikienda sehemu tata nashukiaga njiani. Ghafla nikamuona wife naye kapita na boda kama risasi hahaha nikacheka. Kumbe alikuwa hajaniona. Niliamua kurudi home ili nilete varangati la kwa nini anatokaga usiku bila taarifa.

Aliporudi alinikuta nimeshatia timu. Kidogo angekula kibano shenzi zake
kazi kunifuatilia na akome.

kuchepuka kipaji
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Tehe tehe! "Kuchepuka ni kipaji"

Wivu ni muhimu katika mapenzi lakini usifikie Hatua ya kubana uhuru,

Mkuu huoni kama alichokifanya ni jambo jema anakulinda na kukuthamini,,,,na kwa jambo ulilotaka apate kibano umetengeneza mazingira mazuri ya kuchepuka ataongeza imani juu yako huku akijiongopea moyoni "kumbe nilivyo kuwa na muwazio mume wangu sivyo"..

Lakini mapenzi yakuibia ibia huwa matamu Mno!btw Mke anakupenda sana wachaa michepuko mara moja Mr.
 
ALIKUNYWA BIA ZANGU SASA NIKATAKA NA MIMI NIMLE MAANA ZILE BIA ZINANIUMA
 
Itakua nae alikua anaenda kwa mchepuko wake.....
mkeo mjanja
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom