In need of man suffering from infertility for a husband!

In need of man suffering from infertility for a husband!

Najua kuna solutions! Ila kuna a guy out there ame give up on marriage kwasababu ya tatizo hili! Tatizo liko wapi kukubaliana na hali na kusonga mbele? Kama solution tutatafuta pamoja.
UMEMUONA HUYO GUY? ACHA KUDREAM MAMBO YASIYOKUHUSU ISHI MAISHA YAKO YA AMANI .KIPOFU HAWEZI KUMUONGOZA KIPOFU MWENZAKE.INA MAANA KAMA UNA SHIDA UKAPATA MTU MZIMA AKAKUBALIANA NA SHIDA YAKO UTAMKATAA HADI UPATE MWENYE SHIDA MWENZAKO? NA HUYO MWENYE SHIDA UNADHANI ATATAKA MWENYE SHIDA TENA
 
Asante kwa ushauri
silence-quotes-pictures.jpg
 
Kila mtoto anakuja na baraka zake usijali ,kati ya hawa 9 , 4 wanaweza kutoboa ,3 wakawa tegemezi na 2 wakawa ma padri mkuu hivyo hamna shida siku nikiondoka hamtopata tabu
Kaka yangu alikuwa na mawazo hayo. Sasa ana watoto 7, anajutia maamuzi. Anaanza kuwanunia wasiomsaidia kuwasomesha watoto wake.
 
Fata moyo wako,

Watu wanatakiwa kushauri bt sio kukufanyia maamuzi.

Life lipo na furaha ipo even bila kuwa na kids.

Fata moyo wako mamy....
 
Back
Top Bottom