Nini maana ya infertile?Kua infertile haimaanishi tu kukosa mbegu za kiume! Kuna mengi yanasababisha.
Hujawahi kutoa?!Your entitled to your opinion!
KUWA MUWAZI HAKUNA TATIZO LISILO NA SOLUTION DUNIANI HUMU NIAMINIAsante sana, tatizo sio solution...
Kwa hum ndani ni kweli anaweza asipate maana wanaume wa hum ndani kwa kujazana ujinga hamjambo. Kuna mtu anaweza kuahirisha baada tu ya kusoma hii comment yakoI suggest, you will not get one!
Acha kuhukumuMkishatoa mimba mkaona sasa hamzai mnaanza kutafuta wagumba wenzenu
Najua kuna solutions! Ila kuna a guy out there ame give up on marriage kwasababu ya tatizo hili! Tatizo liko wapi kukubaliana na hali na kusonga mbele? Kama solution tutatafuta pamoja.KUWA MUWAZI HAKUNA TATIZO LISILO NA SOLUTION DUNIANI HUMU NIAMINI
Mm ni hakimuAcha kuhukumu
HongeraMm ni hakimu
huwa hamna au zipo lakin hazifanyi kazi?Anatafuta mwanaume asiyekuwa na mbegu za kiume waoane..
Kama huna mfate PM mapema sana, hiii ni bongo mkuu ..