kinjumbi one
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 1,695
- 2,144
Jamani habari zenu
Naomba niwashirikishe ktk hili.nimejaribu kufanya utafiti kidogo Mimi mwenyewe juu ya ndoa ya mke zaidi ya mmoja, na nimegundua watu wengi waliooa mitala hawaendelei au walioendelea kisha waka oa hukoma hapo hapo.
Sasa najiuliza ikiwa hizi ndoa zimeruhusiwa kabisa na mungu mwenyewe, mbona zinaonekana kama jihanam ktk familia? History inaonyesha wazee wa zamani hata wale mashujaa wa ulimwengu, mbona walioa wanawake wengi sio wawili tu mbona walifaanikiwa?
Na sisi wanaume wa sasa tuna upungufu kulinganusha na wenzetu? Wajuzi wa mambo haya jmn naombeni kuelimishwa