Recent content by Cckondoz

  1. C

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    AEA ndio wanajiitaga the great nation siooo...hongera sana mfwende
  2. C

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Sawa sawa bro..ngoja nifatilie kwa undani zaidi
  3. C

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Sijajua..ila naikumbuka kipindi cha mwendazake alisema mishahara yote itoke hazina....ila ngoja nsubirie maana barua ya ajira kutoka kwa mwajiri inasoma kazi nimeanza mwezi wa 3 tarehe za mwisho mwisho.....hivi inawezekana mtu kulipwa miezi 2 baada ya check # kutoka??
  4. C

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Sawa sawa brother...we ilichukua mda gani kuitwa baada yakukamilisha zile process nakujaza jaza yale madude
  5. C

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Ila hizi mambo za Ajira ni pasua kichwaa tu, unaitwa kazini,unaenda kwa mwajiri, unakamilisha process zote, mda wa mshahara unafika hamlipwi daah. Vijana tunapitia maisha Magumu sanaa kuanzia kuomba kazi, interview nakusubiria majibu ya placement, kazini nako mambo si mambo daah no way out
  6. C

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Hi ni take take home au basic salary
  7. C

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Yeap hio ni bai bai, nasubiria placement 2 ,japo hata zikitoka siwezi kwenda tena,Naomba Mungu nisichaguliwe ili nawengine wapate
  8. C

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Nilipopata kazi Status both App and web Ni SELECTED FOR ORAL INTERVIEW, kwa Mda and lga placement bado haijatoka status ni kwa web ni SELECTED FOR ORAL INTERVIEW kwenye App ni NOT SELECTED FOR ORAL INTERVIEW
  9. C

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Ukiona not selected for oral na umefanya oral ina maana sana kwenye status..so hacheni kupeana matumaini kwamba status hazina maana asa asa kwenye App Una uhakika NOT SELECTED unapata kazi???
  10. C

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Mda/lga nyingi hazijatoka...niliopata sio Mda/lga me nimepata TMDA....
  11. C

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Mimi nimepata ajira juzi tu,ila status za kwenye app zina maana sana,sema ni vile tu tunachukuliaga poa na tunapenda sana kutiana matumaini kwenye hamna...narudia tena tarehe 14 nlifanya oral ya Mda/lga nilitoka nkijua nimezingua.. before ilikua selected for oral nlivoingia kwenye app tarehe 15...
  12. C

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Ndio ni dom bro
  13. C

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Ahaha,naulizia tu maana next week tunaanza na ilo life la hapo makao makuu.. natafakari hapaa
  14. C

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Ni next week inaanza
Back
Top Bottom