zoga
JF-Expert Member
- Jul 6, 2016
- 780
- 1,532
Mungu ni Mkuu, kuliko vyote! Maker of all
AmenMungu ni Mkuu, kuliko vyote! Maker of all
Umeongea Kwa uchungu toka ktk kilindi, Kwa kweli atendeMungu ni Mkuu, kuliko vyote! Maker of all
Diploma ya nini? Wewe ni lab technician au afisa hesabusaidizi au fani gani usaidiwemwenye kujua salary scale ya chuo cha mwalimu julius nyerere university of agriculture and technology kwa level ya diploma.
Of course Ukuu wake ushadhihirishwa kwangu, Sala ya Baba yetu haikauki Kinywani Mwangu, Lord’s word is my Sword!Umeongea Kwa uchungu toka ktk kilindi, Kwa kweli atende
Lab Technician-EngineeringDiploma ya nini? Wewe ni lab technician au afisa hesabusaidizi au fani gani usaidiwe
PUSS 2.1Lab Technician-Engineering
Lab Technician-Engineering
Thanks!Around laki 8 na point
Hi ni take take home au basic salaryAround laki 8 na point
Salary scale hua inataja gross pay. Deductions zinatofautiana mtu na mtu ndio maana mnaweza kuwa na mshahara sawa ila take home mkatofautiana.Hi ni take take home au basic salary
Possible mida ya usikuWebsite yetu pendwa haifunguki kabisa Leo. Bila Shaka Kitenge atacheka leo
Nakweli, imefunguka hamna kitubora ifunguke ikiwa na placement yenye majina page 8+, sio unakuta hamna kitu.
Dah ujobless noma...vijana wanashinda kwenye web ya psrs kutwa kuchwaNakweli, imefunguka hamna kitu
Kazi za mikono yenu psrsDaah!
ngoja tuone mkuuMida ya pdf hii....