Recent content by casino chachi

  1. C

    Wanaume, hamuwezi kumsaidia mwanamke mpaka ufanye nae mapenzi?

    Sasa ww unashindwaje kumpa penzi?? Una roho mbaya, et unataka msaada wakat we hutak kutoa kipochi manyoya chako.. Rudi ukamuombe msamaha na umpe penzi hadi apagawe. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. C

    Kwanini Mhe. Mbowe aliamua kubaki Dodoma siku Mhe. Lissu alipopigwa risasi wakati alitakiwa kuwepo Dar es Salaam

    Kwa nn hizo ripoti za madini hazikusomwa dodoma Sent using Jamii Forums mobile app
  3. C

    Mama anamtetea mke wangu pamoja na kunisaliti

    Ila na ww acha ngono za hovyo Sent using Jamii Forums mobile app
  4. C

    Mama anamtetea mke wangu pamoja na kunisaliti

    Ulipoamua kumwacha ulimfanyia msamaha wa hali ya juu sana...cjui kwa nn amerud..Hilo ni pepo la ngono linatafuta msamaha na litaendelea hivyo. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. C

    Mama anamtetea mke wangu pamoja na kunisaliti

    Yaan kila nikijarib kutoa ushauri moyo unakataa...yaan kafanya ngono,,hadi mimba,,hadi mtoto.. Daaah yaan ushauri wngu unafanana kabisa na sheria za nchi za kiarabu. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. C

    Msaada: Memory card yangu inadelete mafile yote nikiweka

    Maisha ni magumu hadi memory card zimechoka kutunza kumbukumbu...dah iache ipumzike Sent using Jamii Forums mobile app
  7. C

    Hizi ndizo nchi 10 zinazolipa vizuri mishahara Duniani

    Acacia wakitulipa tu hela zetu....tunamfukuzia mmarekani. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. C

    Nimekwisha na UKIMWI

    Pima hospital 20 hadi kieleweke Sent using Jamii Forums mobile app
  9. C

    Special thread: Interesting (best) Quotes | Misemo yenye hekima ndani yake, Nukuu

    Mficha uchi hazai Sent using Jamii Forums mobile app
  10. C

    Taja wimbo unaohisi kama ulitungiwa wewe vile

    Mwanaume mashine Sent using Jamii Forums mobile app
  11. C

    Narudishaje furaha yangu?

    Nipe namba yake numwambie hisia zako.. Imeniuma sana hii story yako ukizingatia mi in mwanaume kama ww,naumia Sent using Jamii Forums mobile app
  12. C

    Kila mwanamke ana bongesa la supu, shida yote hii kisa wanaume

    Sasa iv wanaume tunataka wanawake wenye vichwa vikubwaa...
  13. C

    Dawa ya asili (Kukabili tatizo la kutopata mimba)

    Naitaka sana mkuu,,wife ana shida hyo.
  14. C

    Chid benz aukacha muzik na kugeukia kilimo

    Najua tu lazima alime bangi..
Back
Top Bottom