Narudishaje furaha yangu?

Narudishaje furaha yangu?

Katika maisha ya binadamu ukifaulu kuweza kujipa furaha mwenyewe, kujipenda mwenyewe hakika lazima utapendwa na kuwa mfano wa kuigwa ila ukiendelea kutegemea watu wengine wawe chanzo cha furaha yako utaishia kulalamika kila siku

Sent from my Priceless H40-D00 using JamiiForums mobile app
 
Any way, kama vipi jifunge vilipuzi kisha umwendeee umweleze kuwa unahitaji kumuoa na kama ikitokea amekataa basi washa vilipuzi vyako mbele zake then, unajilipua. End of the story.

Btw, wewe ni kilaza a.k.a gulagula.
 
Hana mapenzi ya kuchukua maamuz kama hayo

Sent from my Priceless H40-D00 using JamiiForums mobile app
 
Hana mapenzi ya kuchukua maamuz kama hayo

Sent from my Priceless H40-D00 using JamiiForums mobile app

Haaaaaa haaaaaa teeeh teeeh.

Umeona eeeeh!!
Ndiyo maana, nami nimeweke mapendekezo kama hayo maana nimesoma thread yake haina hata chembe ya upendo ni mihemuko imemjaa na kukurupuka.
 
Muda wote mliokuwa mna-chart ilikuwa mna-chart nn?
-ulijua imani yake mpaka ukampelekea biblia?
-mlikutania wapi? Kazini kwako,njiani,NYUMBA ni kwake.
-alikuandalia nn?
-zawadi yako aliipokeaje?
- mlipoagana alikusindikizaje?
Na alikuambia neno gani la mwisho.
-je,ulimualika akutembelee kama ndio alikujibu nn
 
Mna-chart>>> mna-chat
 
We jamaa kama sio Msukuma basi utakuwa Muhehe maana nyie ndio huwa mnapendaga hovyo hovyo tu...
 
Hivi Mtu unaanzaje kumpenda Mtu Kwa haraka hivyo? Unajua historia na tabia zake? Binafsi nakushangaa sana! Unataka mwanamke wa mwendo kasi mwanamke wa mtandaoni buyer be ware! Ni tamaa Au upendo wa aina gani? Hapana unahitaji U jifunze "self control " kwanza Mtu mwingine angezarau na kuona kuwa fake! Samahani Kwa kuyanena hayo!
 
Kabla hujaondoka, hukummegea kipande cha pesa kama Habinder Sing alivyowamegea washirika wa Escrow? If u didnt do that, your workdone is equal to zero.
 
Kula fegi za dunhill
Kunywa pombe kali hizi whisky na wine.

Afta 2 weeks furaha yako inarudi....
 
Jamani ID mpya wakati kwa maelezo haya atajua ni wewe huyo binti mrembo
 
Back
Top Bottom