Kwanini Mhe. Mbowe aliamua kubaki Dodoma siku Mhe. Lissu alipopigwa risasi wakati alitakiwa kuwepo Dar es Salaam

Unajua wewe nikikuita mpuuzi unaanza kukasirika lakini inabidi nikuite hivyo kwa sababu hamna namna. Soma huyo UncleBen alivyodai kwanza. Wakutane msibani au Ikulu haijalishi. Swala ni kwamba wameshakaa pamoja?

Nadhani watu wote humu wanajua nani ni mpuuzi kati yangu na wewe. Hakuna haja ya kubishana. Unalojaribu kuliteea hapa halina mantiki yoyote. Kwa heri
 
Kukaa pamoja kuna maana gani zaidi ya hapo? Hiyo maana nyingine nenda kamuulize Mashinji.
Usikimbie hoja.Tunajadili kukutana kama viongozi wa aina tofauti. Wanapokutana ni ktk kutekeleza majukumu ,kila mmoja kwa nafasi yake.

Mbowe kutohudhuria mialiko ni uamuzi wake baada ya kupima na kutafakari tija itokanayo. Si lazima hasa kama mwenyeji ana mtazamo hasi juu yako.

Tukio unalolishadidia la msibani halina maana zaidi ya kufariji wafiwa,kutoa heshima kwa marehemu ambaye kimsingi hakuwa na mawazo finyu kama ya watawala wa sasa.

Jaribu kupanua wigo wa kufikiri; Je,taarifa ngapi za aina hiyo zilizowahi kukabidhiwa kwake na Mbowe hajaenda? Je, ni hasara gani imepatikana kutohudhuria kwake,unawachukuliaje wenye mtizamo tofauti na Ikulu(hawana uelewa,wachuro,wapinga maendeleo au vipi?.

Na Mashinji anaingiaje hoja hii ?
 
Acha ubavicha wako. Je wamekutana au hawajakutana? Hayo mengine hayanihusu.
 
Jumatano tarehe 06:
Kamati inasoma ripoti za Almasi na Tanzanite katika Viwanja vya Bunge Dodoma.

Anakabidhiwa Waziri Mkuu.

Waziri Mkuu anasema, " kesho SAA NNE asubuhi nitaikabidhi hii ripoti Kwa Mhe Rais Ikulu Dar es salaam"

Kwa tafsiri hiyo ina maana safari ya kwenda Dar ilianza Siku hiyo hiyo ya Jumatano jioni, ili wawahi ratiba ya kesho yake SAA NNE asubuhi.

Tarehe 07: Ripoti inakabidhiwa Ikulu.

Waliohudhuria ni kamati za Almasi na Tanzanite, Viongozi Wa Bunge akiwemo Speaker, Viongozi Wa vyama vya siasa akiwemo Prof Lipumba, wakuu Wa vyombo vya ulinzi na usalama.

Mhe Rais anazungumza "Tuliwaalika viongozi wote wa vyama vya siasa japo wengine hawajafika".

Mkuu Wa kambi ya upinzani Bungeni ambae pia ni mwenyekiti Wa Chama cha demokrasia na Maendeleo, hakufika licha ya kualikwa.

Siku hiyo hiyo ya Alhamisi tarehe 07 muda mfupi baada ya shughuli ya Ikulu kuisha, tunapata taarifa,

Mbunge Wa Singida Mashariki na Mwanasheria Mkuu Wa Chadema ameshambuliwa na Kwa risasi akiwa Dodoma,

Anaetoa taarifa ni mkuu Wa kambi ya upinzani Bungeni ambae ndie mwenyekiti Wa Chadema ambae yeye na viongozi wengine Wa Bunge walitakiwa kuwa Dar es salaam kuhudhuria makabidhiano ya Ripoti Kwa Rais na kwamba hiyo safari walitakiwa waianze jioni ya tarehe 06, Siku Moja kabla.

Ni yeye tu ambae hatujui kwanini alibaki Dodoma, na cha kushangaza yeye ndo alietoa taarifa na aina ya bunduki iliyotumika.

Katika Risasi zote 32, Kwa Bahati mbaya 5 zilimpata Mpendwa wetu Mhe Lissu,

Jamani katika hizo risasi 27 zilizopiga hewa, hakuna iliyomkwaruza dereva hata Moja, kwani Dereva alikimbia au alifanya nini?

Nikijiuliza sana nitaumwa kichwa,

Tuwaache Polisi wafanye kazi yao Kwa weledi mkubwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Msikilize Nape na Bashe utaelewa kwanini mbowe hakwenda ... Juice za kule si salama kwa afya
 
Ongeza na haya
Wakati ripoti inasomwa mtu mmoja hakuonekana ikulu mpaka sasa haijulikani shite alikuwa wapi siku hiyo
Siku hiyo kulikuwa na matukio mengi sana kwa mpangilio
Saa 4:30 kupokelewa ripoti ikulu
Saa 5:30 habari za kuuwawa kwa mteka. Nyara Arusha katika mazingira. ya kutatanisha zatangazwa.
Saa 7:30 Lisu ashambuliwa kwa risasi
Saa 10:30 CCM yalaani tukio na taarifa 7/8/2017
Dhana ziko nyingi ukizitaka hata mtuhumiwa hawezi patikana kumbuka miruzi mingi hupoteza mbwa,waachieni wenye kazi yao.
Na siyo ajabu kama shty aliweza kwenda mawingu na mavifaa ya moto ikawa ndiye yeye aliyeongoza hao magyd waliompga nlsu rsys na tena ukute ndio wale aliokwenda nao maawing
 
Waliokuwa wanamfuatilia lissu alishawataja....na ni watu wa vyombo vileeee chini ya yuleeeee
 
Jumatano tarehe 06:
Kamati inasoma ripoti za Almasi na Tanzanite katika Viwanja vya Bunge Dodoma.

Anakabidhiwa Waziri Mkuu.

Waziri Mkuu anasema, " kesho SAA NNE asubuhi nitaikabidhi hii ripoti Kwa Mhe Rais Ikulu Dar es salaam"

Kwa tafsiri hiyo ina maana safari ya kwenda Dar ilianza Siku hiyo hiyo ya Jumatano jioni, ili wawahi ratiba ya kesho yake SAA NNE asubuhi.

Tarehe 07: Ripoti inakabidhiwa Ikulu.

Waliohudhuria ni kamati za Almasi na Tanzanite, Viongozi Wa Bunge akiwemo Speaker, Viongozi Wa vyama vya siasa akiwemo Prof Lipumba, wakuu Wa vyombo vya ulinzi na usalama.

Mhe Rais anazungumza "Tuliwaalika viongozi wote wa vyama vya siasa japo wengine hawajafika".

Mkuu Wa kambi ya upinzani Bungeni ambae pia ni mwenyekiti Wa Chama cha demokrasia na Maendeleo, hakufika licha ya kualikwa.

Siku hiyo hiyo ya Alhamisi tarehe 07 muda mfupi baada ya shughuli ya Ikulu kuisha, tunapata taarifa,

Mbunge Wa Singida Mashariki na Mwanasheria Mkuu Wa Chadema ameshambuliwa na Kwa risasi akiwa Dodoma,

Anaetoa taarifa ni mkuu Wa kambi ya upinzani Bungeni ambae ndie mwenyekiti Wa Chadema ambae yeye na viongozi wengine Wa Bunge walitakiwa kuwa Dar es salaam kuhudhuria makabidhiano ya Ripoti Kwa Rais na kwamba hiyo safari walitakiwa waianze jioni ya tarehe 06, Siku Moja kabla.

Ni yeye tu ambae hatujui kwanini alibaki Dodoma, na cha kushangaza yeye ndo alietoa taarifa na aina ya bunduki iliyotumika.

Katika Risasi zote 32, Kwa Bahati mbaya 5 zilimpata Mpendwa wetu Mhe Lissu,

Jamani katika hizo risasi 27 zilizopiga hewa, hakuna iliyomkwaruza dereva hata Moja, kwani Dereva alikimbia au alifanya nini?

Nikijiuliza sana nitaumwa kichwa,

Tuwaache Polisi wafanye kazi yao Kwa weledi mkubwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa nn hizo ripoti za madini hazikusomwa dodoma

Umejiuliza ffffffff alikywa wapi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
b5bf67419574d0024ae119dc7cbfe950.jpg
sio maneno yangu ni mwanadada Asa

Hivi Mr.DAB naye alikuwa wapi siku ile maana haikuwa kawaida yake kukosa shughuli zile...
 
Jumatano tarehe 06:
Kamati inasoma ripoti za Almasi na Tanzanite katika Viwanja vya Bunge Dodoma.

Anakabidhiwa Waziri Mkuu.

Waziri Mkuu anasema, " kesho SAA NNE asubuhi nitaikabidhi hii ripoti Kwa Mhe Rais Ikulu Dar es salaam"

Kwa tafsiri hiyo ina maana safari ya kwenda Dar ilianza Siku hiyo hiyo ya Jumatano jioni, ili wawahi ratiba ya kesho yake SAA NNE asubuhi.

Tarehe 07: Ripoti inakabidhiwa Ikulu.

Waliohudhuria ni kamati za Almasi na Tanzanite, Viongozi Wa Bunge akiwemo Speaker, Viongozi Wa vyama vya siasa akiwemo Prof Lipumba, wakuu Wa vyombo vya ulinzi na usalama.

Mhe Rais anazungumza "Tuliwaalika viongozi wote wa vyama vya siasa japo wengine hawajafika".

Mkuu Wa kambi ya upinzani Bungeni ambae pia ni mwenyekiti Wa Chama cha demokrasia na Maendeleo, hakufika licha ya kualikwa.

Siku hiyo hiyo ya Alhamisi tarehe 07 muda mfupi baada ya shughuli ya Ikulu kuisha, tunapata taarifa,

Mbunge Wa Singida Mashariki na Mwanasheria Mkuu Wa Chadema ameshambuliwa na Kwa risasi akiwa Dodoma,

Anaetoa taarifa ni mkuu Wa kambi ya upinzani Bungeni ambae ndie mwenyekiti Wa Chadema ambae yeye na viongozi wengine Wa Bunge walitakiwa kuwa Dar es salaam kuhudhuria makabidhiano ya Ripoti Kwa Rais na kwamba hiyo safari walitakiwa waianze jioni ya tarehe 06, Siku Moja kabla.

Ni yeye tu ambae hatujui kwanini alibaki Dodoma, na cha kushangaza yeye ndo alietoa taarifa na aina ya bunduki iliyotumika.

Katika Risasi zote 32, Kwa Bahati mbaya 5 zilimpata Mpendwa wetu Mhe Lissu,

Jamani katika hizo risasi 27 zilizopiga hewa, hakuna iliyomkwaruza dereva hata Moja, kwani Dereva alikimbia au alifanya nini?

Nikijiuliza sana nitaumwa kichwa,

Tuwaache Polisi wafanye kazi yao Kwa weledi mkubwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Akili ndogo haiwezi ongoza akili Kubwa...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom