Recent content by cashenqued

  1. cashenqued

    JamiiForums Tanzania Tunauza matairi ya magari aina ya Roadcruza

    Mara nyingi wapiga debe uwa hawana uhakika na wakinenacho, huyu ni mpiga debe tu. Anayetafuta mchumba anataka afuatwe pm hata wewe na njaa zako eti tuje pm....pumbalagala Sent using Jamii Forums mobile app
  2. cashenqued

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Kifo cha mwanaJamiiForums mwenzetu Ibra87, mtunzi wa riwaya inayopendwa "Nitakupata tu"

    R.I.P Ibra Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app
  3. cashenqued

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi Sio sahihi kupeleka mahali kwa wakwe mpaka wao wafate?

    Vyovyote itakavyokuwa lkn utambue sisi tunaenda na kasi ya Mheshimiwa. Kasi zaidi
  4. cashenqued

    JamiiForums Tanzania Tumuunge mkono Mhe.Rais kwa kupigania rasilimali za nchi zisipotee lakini tuzuie wajinga wachache .

    Wakati unajadili ili usisahau kuna kitu kinaitwa HATI YA DHARULA(ghafla[emoji23]) na NDIOOOOOO MZEEE wakati wa kupitisha sheria hizi. Jamani breakfast tayari uko?
  5. cashenqued

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi Sio sahihi kupeleka mahali kwa wakwe mpaka wao wafate?

    Nilichogundua ni kwamba mkuu una bla bla nyingi, mara nakuja wiki hii, mara kesho ili hali unaelewa uchumi ulivyobana. Sasa wasukuma tumeamua kufata wenyewe ili uache kutuzingua. Hata chini tulala lkn we andaa mpunga wetu.
  6. cashenqued

    JamiiForums Tanzania Tumuunge mkono Mhe.Rais kwa kupigania rasilimali za nchi zisipotee lakini tuzuie wajinga wachache .

    Hivi wanaoingia mikataba wako chama tofauti na rais anayekuwa madarakani kwa wakati huo au ni wale wale. Nadhani nguvu nyingi za maombi tuzielekeze kwangu nipunguze michepuko
  7. cashenqued

    JamiiForums Tanzania Huyu mganga wa kienyeji amenipa masharti magumu sana kuyatekeleza

    Hiyo no.1 na 4 balaa. Ka mambo yenyewe ndo hii bora ufe tu kijana
  8. cashenqued

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ameamua kuniacha bila sababu sasa anataka tuuze nyumba tugawane pesa

    Eti kiherehere chake!! Kwa majibu haya inaonekana wewe ni kati ya wale wanaopenda kuwa juu ya mwanaume, Utakalo wewe ndo lifanyike.....jiandae kuoa na si kuolewa.
  9. cashenqued

    JamiiForums Tanzania Swali la kizushi

    Viumbe hawa WAPO, ila you should be very carefully my friend (wochi iti) Anaweza kufanya hivi kukuteka kiakili ukajikuta unatoa zaidi hapo baadae au akawa na nia njema ya kuzuia matumizi zaidi (tabia na malezi vinahusika) Tafadhari usimhukumu haraka!
  10. cashenqued

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume waliosoma seminari

    Kwa ufupi watu hawa ku_establish eye contact na jinsia nyingine kwao ni mwiko sasa matokeo yake anayejirahisha kwao ni advantage ( Unaliwa hivyo hivyo hata kama uko MP[emoji23][emoji23])
  11. cashenqued

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeamini kweli wanaume ni wachache kuliko wanawake

    Karibu baby[emoji1]
  12. cashenqued

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeamini kweli wanaume ni wachache kuliko wanawake

    Njoo kwangu mi ntakuwa SINGLE KWAKO ila nikirudi home NTAKUWA NA WIFE
  13. cashenqued

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa wale waliooa mapema kabisa tupongezane

    Keiyaa
  14. cashenqued

    JamiiForums Tanzania TRA kodi wanalipa wapi?

    Wanalipa kwa mwenye nyumba.
  15. cashenqued

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsia ipi inaweza kuvumilia bila kusex kwa muda mrefu?

    Mi pia naweza vumilia kwani naweza kukaa hata siku 2 au 3 bila hiyo kitu. Lkn wapendwa hii kitu ni muhimu kufanya msione soo kufanya. Ukipata wa kukukuna we mkune zaidi.
Back
Top Bottom