Punguza bange basi Mkuubiashara ya kukusanya kodi
Kwani serikali ikiagiza vitu kutoka nje inalipa kodi pia ?Je hawana magari? Hawaagizi vitu kutoka nje? Hawana majengo? Maswali ni mengi ila majibu naona mepesi mepesi
Magari ya taasisi za kiserikali uwa ni tax freePoleni na majukum na mihangaiko ya kulisaka tonge..
Ni mda kidogo sikuwepo humu kutokana na shughuli mbalimbali za kizalendo kwenye taifa langu lakini nimeudi tena
Husika na kichwa cha habari hapo juu kuhusu hii mamlaka ya ukusanyaji kodi t.r.a. hivi vile vitu wanavyotumia vikiwemo vyombo vyao vya usafiri na maofisini kodi zao huwa wanalipiaje..
Ulishawahi kuona hata gari lolote la serikali lina sticker yoyoye iwe ya TRA au bima??Poleni na majukum na mihangaiko ya kulisaka tonge..
Ni mda kidogo sikuwepo humu kutokana na shughuli mbalimbali za kizalendo kwenye taifa langu lakini nimeudi tena
Husika na kichwa cha habari hapo juu kuhusu hii mamlaka ya ukusanyaji kodi t.r.a. hivi vile vitu wanavyotumia vikiwemo vyombo vyao vya usafiri na maofisini kodi zao huwa wanalipiaje..
Kumbe...Waailipa TRA,wanajinyoga wenyewe.