Tunauza matairi ya magari aina ya Roadcruza

kyagata

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2016
Posts
13,965
Reaction score
26,152
hello jf!
kampuni yetu inaitwa Hieview international co Ltd,tuko mikocheni nyuma ya nyumba za mawaziri,tunauza matairi mapya ya magari kwa bei ya jumla,matairi yetu yanaitwa roadcruza kutoka China,kwa sasa tuna matairi ya magari madogo yani size 13,14,15 na 16;ila kuanzia week ijayo tutakua na size zote.
matairi yetu yana ubora unaokubalika kimataifa na yanapatikana kwa bei poa kabisa.
kwa mawasiliano zaidi tupigie through 0672392149 .
asanteni
 
Ili ionekane sio mbabaishaji naomba kila size weka na bei yake kabisa, ili tuone hiyo bei poa iliyotofauti na nyingine.

"PAMBANA NA HALI YAKO"
 
poa..njoo pm
 
Wabongo ni watu wa ajabu sana, yaani tuko wagumu sana kufanya biashara sijuhi tuna wadudu gani
Ukiingia Befowardsm Carworld, Alibaba, Amazon kote huko unakuta bidhaa na bei zake, lakini kwa wabongo Njoo PM

Na hili Tangazo ungeliweka PM pia
uliza unataka tairi la bei gan?
 
uliza unataka tairi la bei gan?

Mi ndio niulize nataka tairi la bei gani?, ngoja nikusaidie

Kwa nini usiweke size ya tairi na bei zake?, maana ya kuweka hizo bei inampa mtu nafasi ya kuziangalia hizo bei zenu na kucompare na za sehemu nyingine
Weka hapa R14 low na high profile, hivyo hivyo kwa tairi zote
 
poa,asante kwa ushauri ndugu
 
Mara nyingi wapiga debe uwa hawana uhakika na wakinenacho, huyu ni mpiga debe tu. Anayetafuta mchumba anataka afuatwe pm hata wewe na njaa zako eti tuje pm....pumbalagala

Sent using Jamii Forums mobile app
 
P215/75R15 bei gani na mko wapi
mzigo huo umetuishia boss,ila by 10th of september utakua tayari ushafika godown,tunapatikana mikocheni nyuma ya nyumba za mawaziri.
 
Mlikuwa mnauzaje?
hello jf!
kampuni yetu inaitwa Hieview international co Ltd,tuko mikocheni nyuma ya nyumba za mawaziri,tunauza matairi mapya ya magari kwa bei ya jumla,matairi yetu yanaitwa roadcruza kutoka China,kwa sasa tuna matairi ya magari madogo yani size 13,14,15 na 16;ila kuanzia week ijayo tutakua na size zote.
matairi yetu yana ubora unaokubalika kimataifa na yanapatikana kwa bei poa kabisa.
kwa mawasiliano zaidi tupigie through 0685561688.
asanteni
 
Kaka weka na picha kuvutia wateja boss
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom