Recent content by Cartoo

  1. C

    JamiiForums Tanzania Zari All White Party: Diamond kuzindua TV station yake mei 1 Mlimani City

    Domo Tv!!!!!!!!!!!!!!!!
  2. C

    JamiiForums Tanzania Tofauti kubwa ya Ally Kiba na Diamond hii hapa

    Kiba anabusara sana, hata kwenye kipindi cha Mkasi aliyasema haya, kwa kubainisha kuwa yeye ni mshabiki wa muziki mzuri siku zote.
  3. C

    JamiiForums Tanzania Jamani huyu mtangazaji nampenda balaa

    wewe umenena.
  4. C

    JamiiForums Tanzania Majina ya wanafunzi walio chaguliwa kujiunga na vyuo vya ualimu 2014/2015

    Jamani naomba kujua wale wenzangu tuliomba mafunzo ya ualimu tarajali kwa masomo ya biashara, kama kuna yeyote aliyechaguliwa course nyingine tofauti na aliyoomba! Hii itasaidia watu kujua kama turudi vijijini tukalime au tukomae tusubirie?
  5. C

    JamiiForums Tanzania Majina ya wanafunzi walio chaguliwa kujiunga na vyuo vya ualimu 2014/2015

    Ndugu yangu, kuna watu wanapenda kuwakatisha tamaa wenzao kitu ambacho si kizuri hata kidogo. Tuombe Mungu isije kua hivyo.
  6. C

    JamiiForums Tanzania Report ya mwana Dar es Salaam

    Kiba anajua, mashairi na melody hadi raha!
  7. C

    JamiiForums Tanzania Wakati mkiongea ya Germany,Diamond anafanya aya South Africa

    Nadhani hata Juma Nature naye alishawahi kufanyiwa kipindi pia, ni wakati mgambo ilipotajwa kugombea nafasi ya video bora.
  8. C

    JamiiForums Tanzania Majina ya wanafunzi walio chaguliwa kujiunga na vyuo vya ualimu 2014/2015

    Wakuu, kwa wale tuliomba masomo ya biashara Kigoma na Shinyanga, Je kuna aliyechaguliwa course nyingine tofauti na aliyoiomba? na wengine wamechangia kua majina ndio mwisho je vyuo hivyo ndio baasi tena?
  9. C

    JamiiForums Tanzania Majina ya wanafunzi walio chaguliwa kujiunga na vyuo vya ualimu 2014/2015

    Wakuu, wangine tuliomba mafunzo ya ualimu ngazi ya Diploma katika masomo ya Biashara yaani Commerce na Book keeping katika vyuo vya Shinyanga na Kigoma je utaratibu umekuaje hapa katika list ya Nacte au hakuna aliyepata?
  10. C

    JamiiForums Tanzania Rais wa zamani wa Ufaransa akamatwa na Polisi

    Uandishi wa namna hii sijui huwa unalenga nini! Kwani kama ungeandika rais wa zamani wa Ufaransa ungekosa nini?
  11. C

    JamiiForums Tanzania Kwenye hili FIFA wanatumia vigezo gani?

    Unahisi hizi timu za Africa tukiziweka kundi moja na timu za ulaya au America je ktk makundi ya kugombea kuingia Kombe la dunia tunaweza kupita kweli? Viwango vya juu vya soka vipo ktk mabara ya Ulaya na America hivyo kuleta msisimko naona ni sahihi kwa Africa kua na timu chache hadi pale...
  12. C

    JamiiForums Tanzania Vyumba na nyumba vinapangishwa Kigamboni

    Naona umeingia katika mtego wake, alichatoka kujua ni kua 150000 Kwa mwezi? au 150000 ndio miezi 6?
  13. C

    JamiiForums Tanzania Mashaka yangu na ukocha wa Maximo

    Acheni unafiki Maximo ni mmoja wa makocha wa kiwango cha juu kupata kufundisha hapa Tanzani, fuatilieni link hii muone kama anafanana na Logarusic au Julio Márcio Máximo - Wikipedia, the free encyclopedia
  14. C

    JamiiForums Tanzania Dr. Isack Ndodi mbona hasikiki?

    Hizi biashara ukitaka ufaidi, inabidi uwe na kipindi ktk television kisha andaa watu wako wa ushuhuda kisha subiri uone utavyopiga pesa. Jamaa anaongea kama kameza radio! uenda anajipanga atoke vipi tena.
  15. C

    JamiiForums Tanzania Regina Mwalekwa wa Clouds FM alamba shavu BBC!

    Mkuu, kama ipo ipo tu, kuna kijana alikua anaitwa Abdul Mohamed kama sijakosea, alikua anatangaza Sport Bar na sports extra hapohapo clouds media mbona naye yupo BBC Kiswahili upande wa redio?
Back
Top Bottom