Mkatavimeo
JF-Expert Member
- Jan 3, 2011
- 2,150
- 875
wekeni picha.
Hakuna mtu namwonea wivu kama bwanake Magret Cosmas, lolololo....
Hakuna mtu namwonea wivu kama bwanake Magret Cosmas, lolololo....
Nimetokea kumpenda sn huyu Mtangazaji wa Star Tv/RFA "Christina Mbezi"ila tatizo amegoma kupokea simu zangu...naumia sana.
Akina Jane John? Akina Grace nani vile? Aaaah nimemkumbuka Grace Kigarame! Akina Grace Mhando n.k!
Nimetokea kumpenda sn huyu Mtangazaji wa Star Tv/RFA "Christina Mbezi"ila tatizo amegoma kupokea simu zangu...naumia sana.
Kwa taarifa yako umeshanigombanisha na mke wangu juu ya "uvaaji" wake atanikomaje leo nikirudi!
Mimi U4s arrow. Ana mguu yule mama. Ila sijui roho yake tu.
Hakuna mtu namwonea wivu kama bwanake Magret Cosmas, lolololo....
Duh..kweli vidume nyie ni noma!!!Nimeenda kwenye kipindi cha malumbano ya hoja kwa ajili yake...Dah nilikuwa naumia sana jamani!!! Ila kwa sasa tupo pazuri ingawa safari kwa kweli ni ndefu dada anaonekana mcha Mungu na muoga sanaaa...ukiongea naye ana aibu mpaka unamuonea huruma!!!!