Daaaah hii nyimbo naipenda sana.....
Mwana dar es dalaam mwisho manzese. Mdogomdogo hadi stuggatti..
Kiba anajua, mashairi na melody hadi raha!
sema hajui kuvaa
Mwana dar es dalaam mwisho manzese. Mdogomdogo hadi stuggatti..
Ulitaka avae sketi ka madomo?
sema hajui kuvaa
kiba hana focus wala vision imepita hiyo usipoteze mda haina kubisha .
Ulitaka avae sketi ka madomo?
kitorondo ndo nini
vp tena kwan kuna mtu kaibiwa....... thooomaaaaaaas