Kwenye hili FIFA wanatumia vigezo gani?

Kwenye hili FIFA wanatumia vigezo gani?

mbona hujasema kuhusu Asia ambao hakuna timu hata moja ambayo imepita makundi
acha kuwa KIAZI wewe
 
Tutoe timu nne yaani North, South, East and West zinatosha hapo tukishindwa hata fika Nusu fainali basi mpira hatuuwezi
 
Bila shaka wangeshinda Algeria leo pengine kesho ungechambia viwembe. Huna uzalendo na Africa acha unafiki.

Kwangu mm Algeria ni timu bora zaidi kati ya timu za Kiafrika ktk kombe hili la dunia. Determination is the only difference with other teams
 
Sipati picha tz ingeenda brazil sijui ingekuwaje!!? maana siioni timu hata ya kutokanae sare.

Usiogope sana, mpira ni uleule, tofauti kubwa ni maandalizi. Uliowaona wote kwenye WC wamejiandaa, sio jana pekee bali kwa muda mrefu. Kama Tz ingejiandaa mbona mpira unachezeka tu
 
Nikiwa nimepania kwamba mwaka uu sitaki kukosa mechi zozote za kombe la dunia, naanza kwa hamu kutazama mechi za team zangu za afrika kwa hamu kubwa
1. sipati uchungu kwa Ghana anapofungwa na marekani japo naona kuruhusubao la mapema namna hii ni uzembe mkubwa sana, baadae anakuja kutoa droo na Ujerumani ananifrahisha sana lakini kushindwa kuwafunga ureno kunanisononesha na sasa wamerudi nyumbani
2. Cameroon anafungwa na mexico huku song alex akimtwanga mwenzake ngumi, mechi ya croatia sielewi wanacheza nini na wanapofungwa goli moja naamua kulala kwa hasira. \taarifa za asubuhi zinaniambia kala nne! mechi na \brazil namuona mtu mweusi mkameroon akimsukuma mzchezaji wa brazili akiwa nje ili apewe kadi nyekundu, \refa analiangalia hili jitu jeusi pumbavu halijitambui na halipi hata kadi ya njano. Mechi inaisha kama kawa tumekula nne na majitu meusi yanapigana kana kawaida yao civil war hadi mpirani.
3. Algeria anafungwa na ubelgiji lakini anakuwa amepambana sana. anamfunga honduras anyway simfuatilii sana maana ni mwarabu
4. Ivory coast anamshinda Japan, japo anafungwa na colombia lakini naamini atamfunga greece lakini kwa mshangao wangu jitu moja jeusi linakwatua foward dakika za majeruhi yaani upumbavu mtupu na wanatolewa
5. Nijeria wanaingia raundi za mtoano kwa mazabe mazabe tu na hata wanafungwa na ufaransa sishangai

kqwnda raundi ya pili tumeingiza team mbili wakati walatino ni timu moja imemisi. Mpaka sasa team mbili za latino zimeingia robo final lakini sisi weusi hola!FIFA AFRIKA TUNAGOMBANIA POSHO TUPUNGUZIWE TIMU!!!

hahahahahah mkuu una hasira sana na majitu meusi khaaa. Punguza bwana kwani we ulitegemea nini na timu zenyewe hizi choka mbaya.
 
Usiogope sana, mpira ni uleule, tofauti kubwa ni maandalizi. Uliowaona wote kwenye WC wamejiandaa, sio jana pekee bali kwa muda mrefu. Kama Tz ingejiandaa mbona mpira unachezeka tu

Ninalijua hilo ndo maana niseme ingekuwaje..pale timu yetu isiyo na maandalizi ingepambana na wenzetu wennye maandalizi mazuri??
 
mbona hujasema kuhusu Asia ambao hakuna timu hata moja ambayo imepita makundi
acha kuwa KIAZI wewe
Asia hata wasipopita ni sawa tu wao wana michezo yao wanayotamba nayo. Kwa mfano cricket huwaambii kitu. Ukija kwenye tennis ya mezani huwaambii kitu, kuna volleyball pia na mingine unaweza kutaja. Sasa na sisi waafrika kwa kuwa tunapenda sana soka ilitakiwa tuwe tunatamba kwenye anga hizo lakini wapi!!! Basi ngoja tuwaache wakenya na waethiopia waendelee kutubeba beba kwenye mbio za upepo
 
Huku Songea kuna mtu alinichekesha sana. Alisema, "siku Tanzania ikicheza kombe la dunia nahama nchi". Tutoe rushwa
 
Unahisi hizi timu za Africa tukiziweka kundi moja na timu za ulaya au America je ktk makundi ya kugombea kuingia Kombe la dunia tunaweza kupita kweli? Viwango vya juu vya soka vipo ktk mabara ya Ulaya na America hivyo kuleta msisimko naona ni sahihi kwa Africa kua na timu chache hadi pale tutakapokua na kiwango cha juu ktk soka.
 
Zitapunzwaje wakati Afrika nzima inacheza world cup? una maana gani hata sikuelewi!

Wengine kama Taanzania huwa tunatolewa raundi za mwanzo tu.

Kwi kwi kwi teh teh teh teh.

Tabu ya kujitia kuchangia kila mjadala. Maamuma wa mpira na wewe unataka kuleta hoja za kiufundi... Tokaga huko!
 
Asia hata wasipopita ni sawa tu wao wana michezo yao wanayotamba nayo. Kwa mfano cricket huwaambii kitu. Ukija kwenye tennis ya mezani huwaambii kitu, kuna volleyball pia na mingine unaweza kutaja. Sasa na sisi waafrika kwa kuwa tunapenda sana soka ilitakiwa tuwe tunatamba kwenye anga hizo lakini wapi!!! Basi ngoja tuwaache wakenya na waethiopia waendelee kutubeba beba kwenye mbio za upepo
Umesahau Kenya kwenye mbio ndefu...
 
Unahisi hizi timu za Africa tukiziweka kundi moja na timu za ulaya au America je ktk makundi ya kugombea kuingia Kombe la dunia tunaweza kupita kweli? Viwango vya juu vya soka vipo ktk mabara ya Ulaya na America hivyo kuleta msisimko naona ni sahihi kwa Africa kua na timu chache hadi pale tutakapokua na kiwango cha juu ktk soka.
Mimi nashauri hizi timu za Afrika badala ya kuingia moja kwa moja ziwe zinacheza na best losers wa Ulaya na Marekani ya kusini anayeshinda ndio apewe nafasi.
 
Hili ni suala la kihistoria,kumbuka world cup za mwanzoni zilikuwa zinashirikisha timu za Europe na bara america,baadae kidogo kidogo zikaanza kuingia timu za mabara mengine.Afrika mwanzoni hatukuweza kushiriki kwa kuwa tulikuwa makoloni ya wakubwa (Tanzania tulijiunga FIFA mwaka 1964).Jinsi wanachama wa FIFA walivyoongezeka na nafasi za ushiriki WC ziliongezeka lakini katika kuongeza idadi ya ushiriki FIFA pia wamekuwa wakiangalia quality kwa maana ya ubora wa timu (mwaka 1974 Afrika tuliwakilishwa na Zaire(DRC) ikafungwa 9-0 na Yugoslavia (tumetoka mbali),mwaka 1982 Spain WC Algeria hatua ya makundi ilimfunga Germany 2-1.
Kwa hiyo unaweza kuona jinsi mpira ngazi ya mabara unavyokua na nafasi za ushiriki fainali zinaongezeka.Kiwango cha Aljeria na Nigeria WC hii kitatusaidia kujenga hoja ya Afrika kuongezewa timu WC.

Pumba nyiiingi, sema; "Afrika mpira bado".

Kwanza wewe hata haya huoni kuingia humu kujibu? Timu ya Tanzania iko wapi na lini mara ya mwisho iliingia fainali za kombe la Dunia?

cc Bishanga.
 
Pumba nyiiingi, sema; "Afrika mpira bado".

Kwanaa wewe hata haya huoni kuingia humu kujibu? Timu ya Tanzania iko wapi na lini mara ya mwisho iliingia fainali za kombe la Dunia?

cc Bishanga.

teh teh teh dada FaizaFoxy tatizo lako unaongea sana ukweli na viongozi wetu wengi bla bla bla nyingi!!
 
Last edited by a moderator:
Hili ni suala la kihistoria,kumbuka world cup za mwanzoni zilikuwa zinashirikisha timu za Europe na bara america,baadae kidogo kidogo zikaanza kuingia timu za mabara mengine.Afrika mwanzoni hatukuweza kushiriki kwa kuwa tulikuwa makoloni ya wakubwa (Tanzania tulijiunga FIFA mwaka 1964).Jinsi wanachama wa FIFA walivyoongezeka na nafasi za ushiriki WC ziliongezeka lakini katika kuongeza idadi ya ushiriki FIFA pia wamekuwa wakiangalia quality kwa maana ya ubora wa timu (mwaka 1974 Afrika tuliwakilishwa na Zaire(DRC) ikafungwa 9-0 na Yugoslavia (tumetoka mbali),mwaka 1982 Spain WC Algeria hatua ya makundi ilimfunga Germany 2-1.
Kwa hiyo unaweza kuona jinsi mpira ngazi ya mabara unavyokua na nafasi za ushiriki fainali zinaongezeka.Kiwango cha Aljeria na Nigeria WC hii kitatusaidia kujenga hoja ya Afrika kuongezewa timu WC.

malinzi tunataka Taifa stars ya kisasa,sio kila siku yale yale
 
Back
Top Bottom