Kaka ukiangalia watu utabaki hapo hapo usifanye kitu kwa kuangalia watu wanakutazama vipi,tumia elimu yako kujiendeleza kwani wakina aliko dangote wametoka wapi.
In aviation , a touch-and-go landing or
circuit is a maneuver that is common
when learning to fly a fixed-wing
aircraft. It involves landing on a runway
and taking off again without coming to
a full stop. Usually the pilot then
circles the airport in a defined pattern
known as a circuit and...
Swaiba jaribu kuangalia soko la mabus kwa sasa hayo mabasi ndio yapo sokoni kwa sasa nilijaribu kupitia soko la mabus nikakuta haya sasa sielewi viwanda vingine vipi vinaendelea kutengeneza
Wa bongo kwa kukatisha watu tamaa ,ila ninge waomba wale wanye ndoto zao kwa nini usifanye kimya kimya kuliko kuleta humu kwanye jf coz ninavyoona ona mimi hakuna msaada humu zaidi ya ujuaji tu kila mtu anajiona bora na elimu yake.Jamani msilizike na iyo mishaara yenu ya utumwa na ivyo vigari...
Kweli kiasi fulani nilikua office juzi boss akaja kuulizwa kama anamtoto mwenye hivyo vigezo...ila jaribuni kila mtu ana bahati yake kinachotakiwa kumtanguliza mungu kwanza..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.