Ndege ya Emirates imegoma kutoa matairi ya nyuma

who are you master p?a pilot or what,....i like your flights knowledge although i hav my doubts

masterp is very right.kama unataka kujua ukinzani upo katika upepo,endesha gari au panda gari then toa mkono nje,utaona na kuhisi mkono wako unakinzana na upepo.ndivyo hivyo landing gears zikibaki zinaning'inia.just a simple science
 
Sio rahisi mtu aliye nje ya ndege kujua ndege imeshindwa kuland coz ya ma tairi hasa boing, ndege inapokaribia kutua uwanja wa dar abiria hujulishwa, kufunga mikanda na kubaki Ktk viti vyao kwa Muda wote ambao ni Kati ya dk 30 -45, wakati huo ndege huwa bado inazunguka Baharini Kati ya dar na Zanzibar , pilot anapopewa go ahead na control tower then uchukua mweleo akiwa baharini na kisha kufungua matairi kisha uzikunjua/ huziongezea upana mbawa za ndege kisha uzikunja kwa nyuma , then uanza kuingia eneo la nchi kavu akiwa fullmziki mpaka atapokanyaga running trucks

Honestly...ktk kz nyingi ninazo zi Adimire...ni uPILOT ni kz ambayo wakati wote ukiwa angani u must B seriuos....hongera sana kwa wanaorusha ndege Binafsi naheshim sana kz yao
 
mi kuja kupanda ndege hadi zitokee zinazotembea usawa wa nusu mlingoti wa bendera ili likitokea la kutokea naning'inia kwenye bomba then najiachia kirahisi tu.
Haya mambo ya kuchungulia nje halafu unaona mawingu tu sitaki kabisa.

mbona mabasi ya mikoa hupandi yale yanayokimbia 10km/hr?
 
Mimi ndo nilishuhudia ikiwa inataka kutua but sikuoma matairi ya nyuma nikaona rubani kaongeza thrust ya engine kitu kikaanza kupaa juu hayo ndo niliyoyaona so sijui why aliamua kuahirisha kutua nawasilisha

hiyo ilikuwa Mis Approach mkuu.
 
mambo mengine tumekaa kiubishi tu,ku abort landing mbona ni kitu cha kawaida?ni kwa kuwa tu matukio haya huwa hayawekwi sana kwenye habari ndo maana tunaona ni kitu cha ajabu cha kubishania.rubani anaweza kuabort landing kwa sababu nyingi tu.naweza kupa mfano halisi,mwaka jana mwezi wa tisa tarehe za kati kati kama sikosei,fastjet ili abort landing mwanza airport.mvua ilikuwa inayesha sana tu mwanza,dk kama ishirini kabla tulikuwa tushatangaziwa kufunga mikanda kwa ajili ya kuland,tulikuwa tumeshashuka chini sana japokuwa kutokana na mvua hata uangalie dirishani ilikuwa ni vigumu kuona chini,but with no tym captain alichochea kurudi juu.hii ilifanya kijana mmoja aliyekuwa amekaa pembeni yangu kuanza kutaharuki,akaanza kuuliza kwa sauti kwanini tunarudi juu?(alikuwa amekaa pembeni yangu tukiwa tumetenganishwa na njia.yeye kushoto mimi kulia0.akahamaki akawa anataka kunyanyuka kwenye kiti,akidai kuwa yeye amesoma sana kuhusu ajali za ndege,ndege nyingi huanguka wakati wa kutua.nikamtuliza nikamwambia kwani hakusikiliza maelekezo kabla hatujaondoka dar?kama kuna tatizo(emergency) si tutaambiwa?ndipo kijana mwenzangu akatulia.BUT wakati tunarudi juu ndio tulifanikiwa kujua kuwa tulikuwa tunakama dk 3 hivi tutouch down.so tulirudia upya landing.KUHUSU NDEGE KUFELI KUTOA MATAIRI(LANDING GEAR) NI COMMON ISSUE,NDEGE INARUKA FT 35000 AU HATA 40000 KUTOKA USAWA WA BAHARI,INAKUTANA NA DIFFERENT AIRMASSES NA TEMPS,KUNA TABULANCES ETC,SO NA YENYEWE KUPATA DEFECTS NI KITU CHA KAWAIDA KABISA.NI KAMA VILE GARI LINAVYOKUTANA NA MILIMA NA MABONDE NA LINAWEZA KUPATA HITILAFU,HADI RUBANI ATANGAZE KUTUA KWA DHARURA UJUE KAJARIBU MBINU ZOTE NA ZIMEKWAMA.HABARI HIZI HUWEZI KUKUTA UNAWEKEWA MAGAZETINI KILA SIKU,NI VITU AMBAVYO VINARECODIWA NA WAHUSIKA.HII NI INCIDENT NDOGO TU KATIKA MENGI YANAYOTOKEA KATIKA NDEGE

Ata mimi nashangaa ubishi huu,maana nime attach mpaka video za ndege zilizo fail kutoa tairi lakini jamaa bado wanabisha,failure hizi utokea sana niliziona sana nilipokuwa Emirates Cabin crew.Airline pia utumia pesa nyingi kuzima ajari ndogondogo zinapotokea ili wateja wasione tatizo kwenye airline zao,mfano kwa sasa hakuna mtu anayetaka kupanda Malaysia Airline maana mambo yao yapo wazi.Nakumbuka kuna siku Emirates tulishatua baharini lakini walitumia pesa nyingi sana kuizima ile issue.
 
Haisee na mlitokaje huko baharini?
 
Haisee na mlitokaje huko baharini?

Hii ni njia salama sana,inaitwa DITCHING na ata cabin crew anapokuwa kwenye mafunzo sifa ya kwanza ni lazima ajue kuogelea inatokea mara nyingi sana.Unapoenda kwenye chuo cha mafunzo pale Emirates wana swimming pool kubwa sana kwa ajiri ya mafunzo.

US Airways emergency landing hudson river (water) part 1 - YouTube

th
 
Ata mimi nashangaa ubishi huu,maana nime attach mpaka video za ndege zilizo fail kutoa tairi lakini jamaa bado wanabisha,failure hizi utokea sana niliziona sana nilipokuwa Emirates Cabin crew.Airline pia utumia pesa nyingi kuzima ajari ndogondogo zinapotokea ili wateja wasione tatizo kwenye airline zao,mfano kwa sasa hakuna mtu anayetaka kupanda Malaysia Airline maana mambo yao yapo wazi.Nakumbuka kuna siku Emirates tulishatua baharini lakini walitumia pesa nyingi sana kuizima ile issue.

mlitokaje baharini,Hamkufa ??
 
Pamoja na yote hayo hiyo ndege iko wapi kwasasa imetua au bado iko angani inahangaika kutoa tairi?
 
Ata mimi nashangaa ubishi huu,maana nime attach mpaka video za ndege zilizo fail kutoa tairi lakini jamaa bado wanabisha,failure hizi utokea sana niliziona sana nilipokuwa Emirates Cabin crew.Airline pia utumia pesa nyingi kuzima ajari ndogondogo zinapotokea ili wateja wasione tatizo kwenye airline zao,mfano kwa sasa hakuna mtu anayetaka kupanda Malaysia Airline maana mambo yao yapo wazi.Nakumbuka kuna siku Emirates tulishatua baharini lakini walitumia pesa nyingi sana kuizima ile issue.
Mkuu sasa hiyo ndege imetua au bado iko angani maana mabishano ni mengi lakini hakuna konklusheni
 
mambo mengine tumekaa kiubishi tu,ku abort landing mbona ni kitu cha kawaida?ni kwa kuwa tu matukio haya huwa hayawekwi sana kwenye habari ndo maana tunaona ni kitu cha ajabu cha kubishania.rubani anaweza kuabort landing kwa sababu nyingi tu.naweza kupa mfano halisi,mwaka jana mwezi wa tisa tarehe za kati kati kama sikosei,fastjet ili abort landing mwanza airport.mvua ilikuwa inayesha sana tu mwanza,dk kama ishirini kabla tulikuwa tushatangaziwa kufunga mikanda kwa ajili ya kuland,tulikuwa tumeshashuka chini sana japokuwa kutokana na mvua hata uangalie dirishani ilikuwa ni vigumu kuona chini,but with no tym captain alichochea kurudi juu.hii ilifanya kijana mmoja aliyekuwa amekaa pembeni yangu kuanza kutaharuki,akaanza kuuliza kwa sauti kwanini tunarudi juu?(alikuwa amekaa pembeni yangu tukiwa tumetenganishwa na njia.yeye kushoto mimi kulia0.akahamaki akawa anataka kunyanyuka kwenye kiti,akidai kuwa yeye amesoma sana kuhusu ajali za ndege,ndege nyingi huanguka wakati wa kutua.nikamtuliza nikamwambia kwani hakusikiliza maelekezo kabla hatujaondoka dar?kama kuna tatizo(emergency) si tutaambiwa?ndipo kijana mwenzangu akatulia.BUT wakati tunarudi juu ndio tulifanikiwa kujua kuwa tulikuwa tunakama dk 3 hivi tutouch down.so tulirudia upya landing.KUHUSU NDEGE KUFELI KUTOA MATAIRI(LANDING GEAR) NI COMMON ISSUE,NDEGE INARUKA FT 35000 AU HATA 40000 KUTOKA USAWA WA BAHARI,INAKUTANA NA DIFFERENT AIRMASSES NA TEMPS,KUNA TABULANCES ETC,SO NA YENYEWE KUPATA DEFECTS NI KITU CHA KAWAIDA KABISA.NI KAMA VILE GARI LINAVYOKUTANA NA MILIMA NA MABONDE NA LINAWEZA KUPATA HITILAFU,HADI RUBANI ATANGAZE KUTUA KWA DHARURA UJUE KAJARIBU MBINU ZOTE NA ZIMEKWAMA.HABARI HIZI HUWEZI KUKUTA UNAWEKEWA MAGAZETINI KILA SIKU,NI VITU AMBAVYO VINARECODIWA NA WAHUSIKA.HII NI INCIDENT NDOGO TU KATIKA MENGI YANAYOTOKEA KATIKA NDEGE

sasa hizo FT 35000 to 40000 kuna O2 kweli?km hamna kwanini abiria hawafi?
 
Mkuu sasa hiyo ndege imetua au bado iko angani maana mabishano ni mengi lakini hakuna konklusheni

Jamani eeeeh.., kwa wale mliokuwepo jana airport JNIA ama kupokea wageni waliokuja kwa Emirates au wafanyakazi wa airport, au abiria yeyote aliyekuwepo ndani tuambieni basiii ndege ilitua jana jioni ama haikutua?? Na tatizo lilikuwa nini? Ili kukate mzizi wa fitna
 
Nimeishuhudia ndege hiyo ikiwa imejiandaa kutua hivi punde ktk uwanja Mwl Nyerere imebidi rubani airudishe tena hewani.

umejuaje kuwa imegoma? na nini sbb ya ndege hiyo kugoma kutoa matairi?
 
Unaleta utani

wewe ndo unaleta utan.Kama hujui kitu khsiana na swali langu,ni vyema ungekaa kimya tuu.Swali langu linautani upi.Mbona master p,kalijibu vyema si inaonyesha kalielewa vyema.
 
sasa hizo FT 35000 to 40000 kuna O2 kweli?km hamna kwanini abiria hawafi?

hahaha u made ma day,imetengenezwa na air circulation ambayo huwezesha kupata o2 all the tymz.kama ambavyo gari imetengenezwa kupita barabarani,ikawekewa spring kwa ajili ya ku absorb shock na mengineyo,ndivyo hivyo ndege imetengenezwa kupita katika mazingira inayopita
 
Majanga!!!
Mkuu una uhakika lakini ya kuwa hiyo ndege kushindwa kutua kulitokana na kushindwa kutoa matairi? Sikupingi, ila pengine tusubiri maelezo ya kitu gani kimepelekea ndege hiyo ku 'abort landing'... Tuombe salama mkuu, kama sikosei ni Boeing 777 ndiyo inayotumiwa na Emirates na kwa kweli huwa inabeba abiria wengi na mizigo!

Boeing 787 ckupingi na kuupdate tu mkuu ndio wanayo ileta uku siku hizi
 
Mimi nimeshuhudia mara kibao ndege ikiingia mjini/karibu na uwanja na bado haijafungua matairi. Ikikaribia ndio hufungua then kushuka/kutua. So kama mleta uzi alivyotoa taarifa, it happens.

Ndege kubwa uanza kufungua mapema matairi yake
 
Kwa point yako inawezekana tena amechukua hatua akiwa mbali na kuipitisha karibu na uwanja lakini kwa umbali mrefu kidogo kutoka usawa wa ardhi maana wengi tunajaribu kujenga picha yaani kitu ndio kilikuwa kinaelekea eneo la tukio alafu ghafla akairudisha angani

In aviation , a touch-and-go landing or
circuit is a maneuver that is common
when learning to fly a fixed-wing
aircraft. It involves landing on a runway
and taking off again without coming to
a full stop. Usually the pilot then
circles the airport in a defined pattern
known as a circuit and repeats the
maneuver. This allows many landings to
be practiced in a short time.[1]
If the pilot brings the aircraft to a full
stop before taking off again then it is
known as "stop-and-go".
 
Zanzibar Spices,mimi ni mpenzi sana wa point zako lakini hiki kitu ni possible ,tatizo kama ili linawezatokea ata hapo juu kuna link nimeweka yawezakuwa technical issue,nimefanya na Emirates kama Cabincrew kwa miaka 6,tatizo la tairi lawezatokea.Inaitaji maelezo marefu sana lakini to cut it short yawezekana.
wewe ulikuwa ni cabin crew
haya hebu tueleze kwa mfano kukiwa na suala kama hili nyinyi huwa mnaambiwa nin na je kwa nin Emirates haitoa passenger anouncement kwa kiswahili ???
 
Back
Top Bottom