Recent content by capo

  1. C

    JamiiForums Tanzania Magufuli kama Nyerere: Ni mtu wa watu, hapapasi, hamung'unyi, ni kazi tuu, ila pia sio kama Nyerere!

    Jamaa anakosoa watu wakati hata yeye kuandika,"Journalist" tu kashindwa.
  2. C

    JamiiForums Tanzania Zanzibar ina mengi ya kujifunza kutoka Scotland

    Jana thread zote zilizokuwa zinashabikia waskochi kujitenga,naona wenyewe walizisusa baada ya matokeo.
  3. C

    JamiiForums Tanzania Bulembo na Vicky Kamata wamekuja Arusha

    Vijana wanatumiwa kama mipira ya kiume na wanasiasa,wakija kushtuka kumekucha!
  4. C

    JamiiForums Tanzania Nassari kupokelewa kesho KIA kwa maandamano makubwa

    Kujitambua ni kitu muhimu sana maishani!
  5. C

    JamiiForums Tanzania Mhariri wa gazeti la Mtanzania hujaitendea haki CHADEMA

    Tatizo lenu hampendi kuandikwa vibaya,nyie mnataka mazuri tu.
  6. C

    JamiiForums Tanzania Madrid wametumia uzoefu....

    "If you are second, you are Nothing" Bill Shankly
  7. C

    JamiiForums Tanzania Malema na wabunge wezake EFF wakataa kuvaa suti wakati wakiapishwa

    Siasa ni zaidi ya Usanii.
  8. C

    JamiiForums Tanzania Body spray ipi ni bora zaidi kwa wanaume?

    Xavier.(XL)
  9. C

    JamiiForums Tanzania Ninakataa CCM hamna wasomi kama CDM na UKAWA

    Majina unataja kama unaogopa vile!
  10. C

    JamiiForums Tanzania Chelsea itaweza kuifunga tena Man City Etihad katika FA cup 15/2/2014?

    City anaweza kufungwa tena ama droo,sababu ni kwamba City ataingia akiwa ana hofu ya game zilizopita,Pili itategemea na Performance Ya viungo wa Chelsea hasa Nemanja Matic,kama akipangwa.
  11. C

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Jana,nilipomuona Nemanja,Ramires na David,,Nilijua pale kati shughuli si ndogo.
  12. C

    JamiiForums Tanzania Mbulgaria jela miaka 3 kwa wizi kupitia ATM

    Wabongo kila kitu ubishi,kwani hiyo adhabu Hakimu kaitoa Hewani!.
  13. C

    JamiiForums Tanzania Jeshi la polisi limepiga marufuku upigaji wa fataki siku ya mwaka mpya

    Naona wa TZ wanasiasa,wanatupeleka pabaya!kila kitu tunapinga tu!
  14. C

    JamiiForums Tanzania Tutakosa wanasiasa na wagombea

    Humu watu hamko Neutral,kuna waziri aliibiwa Hotel na hawara,wala hamkusema ni mambo binafsi,watu walijadili hapa.
  15. C

    JamiiForums Tanzania Wabunge watafuna Posho hovyo! CCM, CHADEMA wote washiriki mchezo mchafu

    Uwa nashangaa sana watu wanavyotoana macho, kwa ajili ya wanasiasa,hawa baba na Mama yao ni mmoja,Shtuka!
Back
Top Bottom