mabesela
JF-Expert Member
- Mar 14, 2014
- 1,294
- 680
...mkuu jana nimeamini casilas kaisha,makosa yake mengi yameifanya mechi iwe ngumu kuliko ilivyotarajiwa...
Uko sahihi..Casilas anafungwa magor ya kizembe japo ndo anaaminiwa sana na timu. Amewagharimu wenzake kucheza kwa nguvu kubwa sana kubadilisha matokeo.