Recent content by camber

  1. C

    Ushawahi kuhisi upo single ndani ya ndoa?

    Binti Kiziwi nakuelewa sana ulichokiandika lakini practically hatuendi hivyo! Ndoa ni ngumu na huo uzungu wako kwenye ndoa wengi hawaufuati usimshauri mwenzio hilo. Do you know how difficulty to get divorce paper in Tanzania? Without it will you be free and happy!? tatizo la ndoa la huyu mdada...
  2. C

    Ushawahi kuhisi upo single ndani ya ndoa?

    Ndio mkuu anaenda mwanaume kununua kila kitu sokoni lengo lake mkewe asiwe na hela! Kuna baadhi ya wanawake wanapitia wakati mgumu sana kwenye ndoa.
  3. C

    Ushawahi kuhisi upo single ndani ya ndoa?

    masai dada, Pole sana dada! Heri ya mwaka mpya 2020 Suala la mumeo kukwambia nyumba ni ya mtoto linatokana na alichosikia either kutoka kwa marafiki zako au ndugu zako, huenda ikawa unaongelea sana hiyo nyumba na huenda ukawa unaongelea kwa mazuri hauna maana mbaya ya kuwa unaifikiria sana...
  4. C

    Ushawahi kupiga bao chumba cha mtihani?

    Nilikuwa nakaa azimio kaka! Sivuti sigara wala nini mkuu! Ila nilikuwa mkereketwa wa hatari nashukuru nilitoboa!
  5. C

    Ushawahi kupiga bao chumba cha mtihani?

    Hii kitu ni sahihi na hutokea kwa wale wasongo pekee! Mie nilikuwa Mazengo Tech kwenye somo la Technical drawings ilikuwa imebakia nusu saa na mchoro nilikuwa naweza kuufanya ila tulikuwa tunatakiwa kuchora kwa vipimo plan view, front elevation na rear view! Acha kabisa hii story imenikumbusha...
  6. C

    Ubalozi umemwambia watoto sio wake

    Evelynsalt ametendwa, hana tena huruma na wanaume. Kwa alivyokuwa ana comment sikuwaza kama anaweza kuwa anapenda kindezindezi hivyo! Hii inaonyesha kibuti alichopigwa kimemfanya awe gaidi kwa wanaume.
  7. C

    Kutuma pesa kutoka Sweden kuja Tanzania

    Tumia Ria agent kama unakaa miji mikubwa like Stockholm au Malmö
  8. C

    Naona maisha hayana faida tena baada ya kuachana naye

    Pole sana engineer! Inaonyesha alishatolewa hiyo bikra na anaona soo ndio maana kaamua akumwage mapema kabla haujashtuka, ulionyesha udhaifu mkubwa kukubali kubadili dhehebu! Tunajifunza kutokana na makosa, achana nae, piga shule then tafuta kazi utashangaa atarudi na uongo mwingi, akija gonga...
  9. C

    Ushauri tafadhali: Mpenzi wangu kakataliwa nyumbani

    Wazazi huwa wako sahihi mara kwa mara kwenye suala hili, nilifanya kosa kama unalotaka kufanya sasa hivi, ninajuta! Hakuna kitu kigumu kama kudai talaka hapa Tanzania na ukute mwanamke king'ang'anizi hautakaa usahau, you may start a new life after 5 years. Usidharau ushauri wa wazazi ingawaje...
  10. C

    Ushauri wenu: Ninahitaji Toyota "saloon car" bajeti yangu haizidi Tsh 12m

    Tafuta Toyota verossa, hakikisha CIF haizidi 6m. Be forward wako cheap ( according to my opinion)
  11. C

    Uhamiaji imebadilika, nimepata passport yangu ndani ya wiki mbili nikiwa nje ya nchi

    Huo ubalozi ni tatizo halafu huyo dada wa mapokezi sijui nimuelezee vp, hana kauli nzuri, sijui tatizo ni lugha au? Ni wa Ethiopia nahisi! Mie nilitumiwa after six months! It was weird!
  12. C

    Tukumbushane watu wa Tabora-Mboka Manyema

    Kaka nahisi tunajuana, hao watu walikuwa ni marafiki zangu, sijui wako wapi sasa! Bob rich bado yuko mboka ila juma mnene sijui yupo Dar au wapi!?
  13. C

    Tukumbushane watu wa Tabora-Mboka Manyema

    Mie nilikuwa nimeshaondoka cheyo A mwaka huo, tulienda mazengo tech! Tulikuwa wanne toka cheyo A.
  14. C

    Tukumbushane watu wa Tabora-Mboka Manyema

    Mi nilikuwa nakaa isevya ila nasoma cheyo A. Mmenikumbusha mbali sana! Watoto wa kike wa mzee kagoma walikuwa wazuri sana kwa sababu ya rangi na watoto wa kiume walikuwa watemi sana. Nakumbuka tulikuwa tunacheza mpira (chandimu) mtendeni shule ya msingi, nikampiga kanzu na kisha nikamgeuza kwa...
Back
Top Bottom