Ubalozi umemwambia watoto sio wake

Ubalozi umemwambia watoto sio wake

Nimeuliza nchi, nimebisha wapi? Kuna mwenzako amesaidia zaidi, ametaja nchi ya UK.

Maelezo ya UK yanasema: In some cases an immigration test may be requested by the Home Office if birth, marriage certificates or other documents are not available or do not meet the requirements of the immigration authorities in the UK.

Kwa hiyo hii DNA requirement ni kwa ajili ya jitu linaenda pale halina hata cheti cha kuzaliwa cha mtoto au ana cheti haki meet standards, kimeandikwa kwa Kisomalia kwa mfano. Of course watakuambia ujaribu ku shore up your supporting documents.

Birth Certificate ya Tanzania, kwa mfano, template yake ililetwa na Waingereza wenyewe zamani za kale, itakuwa vigumu kusema hawaielewi.

Na si vyeti tu, pia paternity na maternity test inafanywa wakitaka kuhakikisha kama kuna uhusiano wa damu.

Na kesi ya jamaa inaangukia hapo, maana alitaka kuwapeleka watoto wake wote 4 Ulaya pamoja na mama yao!
 
Mmmmm but nackiaga et most of the time hizo DNA results huwa znakuja negative hata kama mtt ni kazaliwa na huyo mzazi.....
Inaeza kua factor ya weather etc...(cna uhakika)...
Agghhhh...[emoji51] [emoji51] [emoji51]
Kumbe unaskiaga...[emoji15] [emoji15]
 
Nchi gani hiyo inayopima DNA?

Ina maana haitambui watoto wa kufikia na wa ku adopt?

Au mnaleta hekaya tu?
Haha nami nilitaka kuuliza hili swali mkuu,

Binafsi sijawahi ona hii kitu!! Halafu kachanganya stori Mara wife wake alipata visa Mara akawaambia ubalozi u cancel application yote pamoja na mkewe!!

Kuna shida kubwa mno ktk akili za hawa watunzi wa hekaya!!!
 
Huyu alikuwa ana machungu ya kutaka kushambulia wanawake wanaopachika wanaume watoto wa nje tu.

Ndiyo maana hata nchi hawezi kutaja tuhakiki hapa.
 
Huyu alikuwa ana machungu ya kutaka kushambulia wanawake wanaopachika wanaume watoto wa nje tu.

Ndiyo maana hata nchi hawezi kutaja tuhakiki hapa.
Haha kazi IPO...

Tupo mkuu na nyapara wetu tukisubiri viwanda.
 
DNA test za balozi nyingi kama Uingereza na Marekani test ipo online na imeunganishwa na makao makuu ya nchi hizo hivyo tarajia matokeo kuwa 100%.
Wait a minute now, hold on...

Unasema DNA test za balozi nyingi kama UK na US unazifanyia online, okay that's very good technology, very convenient indeed.

But I guess my question to you is that, unapokuwa kwenye computer ubalozini kwao unapiga test ya DNA online wanakuzuia vipi usiende kwenye Google kutafuta majibu ya DNA test ili upasi?
 
Sina shaka kwamba humaanishi hizi DNA tests unaweza fanya online!

Ninaposema online namaanisha "behind the scenes" wewe si unatoa swabs kwenye zahanati zao na baadae unasubiria majibu?

Mbona vitu vingine ni rahisi tu kuvielewa?

Nnaposema online namaanisha mawasiliano kati ya ubalozi na ofisi zingine nje ya Tanzania.

Kwa mfano samples zako za DNA zinaweza kusafirishwa kwenda nje kwa sampler ambae anaweza kuwa yupo South Afrika au nchi ingine ya karibu kwenye facilities zinazoaminika na matokeo kurushwa back kwenye ubalozi kwa email tu.
 
Sina shaka kwamba humaanishi hizi DNA tests unaweza fanya online!

Mbona vitu vingine ni rahisi tu kuvielewa?
Nani hamaanishi DNA test online, mimi au wewe?

Wewe ndio umeandika kitu cha ajabu tokea binadamu agundue kuandika, sasa unataka kunilaumu mimi kwa kutoelewa kitu rahisi? Rekebisha mwenyewe messy explanations zako, usikosoe wanaokukosoa.

Richard said: DNA... test ipo online na imeunganishwa na makao makuu

Watu wengine bana! Imekuwa online course ya kufanya tests mtandaoni? Halafu unaandika "imeunganishwa na makao makuu ya nchi hizo hivyo tarajia matokeo kuwa 100%."

For heaven's sake, what the hell are you saying? Matokeo yanakuwa 100% kwa sababu yameunganishwa na makao makuu, huoni kwamba unaandika madudu yasiyoeleweka? Usinilaumu anaeshindwa kuelewa fuzzy ideas zako.
 
Evelynsalt ametendwa, hana tena huruma na wanaume. Kwa alivyokuwa ana comment sikuwaza kama anaweza kuwa anapenda kindezindezi hivyo! Hii inaonyesha kibuti alichopigwa kimemfanya awe gaidi kwa wanaume.
 
Nani hamaanishi DNA test online, mimi au wewe?

Wewe ndio umeandika kitu cha ajabu tokea binadamu agundue kuandika, sasa unataka kunilaumu mimi kwa kutoelewa kitu rahisi? Rekebisha mwenyewe messy explanations zako, usikosoe wanaokukosoa.

Richard said: DNA... test ipo online na imeunganishwa na makao makuu

Watu wengine bana! Imekuwa online course ya kufanya tests mtandaoni? Halafu unaandika "imeunganishwa na makao makuu ya nchi hizo hivyo tarajia matokeo kuwa 100%."

For heaven's sake, what the hell are you saying? Matokeo yanakuwa 100% kwa sababu yameunganishwa na makao makuu, huoni kwamba unaandika madudu yasiyoeleweka? Usinilaumu anaeshindwa kuelewa fuzzy ideas zako.
Nchi gani hiyo inalazimisha DNA test kuhakiki watoto?
 
Wanawake ni viumbe werevu sana na wenye uwezo wa juu wa kufikiria.....tatizo lao ni kwamba werevu wao na akili zao wamevielekeza kwenye mambo ya kipuuzi.....na ndio maana kila sifa ya kipuuzi inawaangukia wao.....

Proudly FIELD MARSHALL....
 
Mmmmm but nackiaga et most of the time hizo DNA results huwa znakuja negative hata kama mtt ni kazaliwa na huyo mzazi.....
Inaeza kua factor ya weather etc...(cna uhakika)...
weather tena? stp inahusika
 
Back
Top Bottom