Recent content by Calfornia

 1. Calfornia

  Bi. Khadija Mkomanile, mwanamke jasiri wa Vita vya Maji Maji

  Hakuna kitu kinachoitwa jina la kiislam au jina la kikristo. Kuna jina la kiarabu au 'kizungu'. Uislam umetumika kueneza tamaduni za kiarabu kama ambavyo ukristo umetumika kueneza tamaduni za kizungu. Matokeo yake utambulisho wa kiafrika umepotea kabisa sababu ya kuwa brainwashed.
 2. Calfornia

  Sikuwahi amini, kumbe haya mambo ni halisi?

  Tuheshimiane sista, uzinzi wangu uko wapi?
 3. Calfornia

  Sikuwahi amini, kumbe haya mambo ni halisi?

  Kuna jambo binafsi nimekuwa siliamini sana kama lipo, labda sababu kuona ni kuamini. Kuna 'sista' wangu mmoja leo ame-share nami kitu kilichonishangaza kidogo, wenye ndoa wenzangu labda mnaweza fumbua macho pia. Huyu 'sista' alimuattend dada mmoja, baadae akaombwa namba yake ya simu kwa kigezo...
 4. Calfornia

  Ndege za serekali zilizotakiwa kunyunyuza dawa kuuanzige Manyara na Kilimanjaroa zilishauzwa kwa 500,00 kila moja.

  Sijaelewa, hizi ndege ziliuzwa toka 2013, zaidi ya miaka 7, sasa kama ziliuzwa maana yake hazipo tena chini ya milki yao sasa wanazitumia vipi?
 5. Calfornia

  Jennifer Lopez Avalishwa Pete ya Dola mil 1 sawa na bilion zaidi ya 2 tshs na Mchumba Wake

  siri ni kupiga lishe bora, piga tizi kwa viwango staili, acha kulala lala, lala kiwango cha kutosha, achana na stress, ishi happy life, achana na kunywa pombe hovyohovyo na usinywe pombe za hovyo, sio pombe ukiinywa asubuhi ukikata gogo, nyumba nzima inanuka, ukijamba harufu kali hadi...
 6. Calfornia

  Tupige story

  Sehemu ya tatu na mwisho iko comment #3.
 7. Calfornia

  Tupige story

  Tayari.
 8. Calfornia

  Tupige story

  Tayari muendelezo, check comment namba 2
 9. Calfornia

  Tupige story

  Sehemu ya Pili iko comment #2
 10. Calfornia

  Simulizi: Mke Wangu Juliana

  Thanks for the story! It's such an excting one. Nimejifunza hapo kuhusu aina za mapacha walioungana. Licha ya kuwa ni fiction mambo ya mzee abraham yapo sana kitaa. Sema ningekua mimi john huwa amanda ningemuomba gem, namfumua sana nakula hadi mombasa halaf nampiga chn. Mwamamke anayemvulia chup...
 11. Calfornia

  Tupige story

  Hii haina kuzingua ntaimaliza. Kesho mapema tu naiendeleza
Top Bottom