kidadari
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 8,647
- 9,574
Wakati nchi ikihaha kupambana na Nzige waharibifu waliovamia maeneo ya Manyara na Kilimanjaro na kuhatarisha mazao imebainika ndege zilizokua na kazi ya kipambana na nzige hao na kunyunyuza dawa zilishauzwa kwa bei ya kutupwa.
Ndege hizo ziliuzwa kwa 500,000 kila moja jambo ambalo linaipelekea serekali.ugumu wa kupambana na janga hili linalohatarisha usalama wa chakula. Bado hatujajua baada ya mikoa hii nzige hao wataelekea wapi.

Ndege ndogo ya Kilimoanga yauzwa kwa tshs 500,000/-
Ndege ndogo ya kutumika kunyunyizia pesticides kwenye taasisi ya serikali ya kilimo anga imeuzwa kwa tshs laki tano kwa madai kuwa hakukuwa na vipuri. Wafanyakazi wasio na mkataba wa kudumu nao hawajalipwa mishahara kwa miezi 17. Hayo yameelezwa kwa waziri wa kilimo leo hii, alipowatembelea...
www.jamiiforums.com