Sikuwahi amini, kumbe haya mambo ni halisi?

Calfornia

Member
Oct 26, 2019
49
150
Kuna jambo binafsi nimekuwa siliamini sana kama lipo, labda sababu kuona ni kuamini.

Kuna 'sista' wangu mmoja leo ame-share nami kitu kilichonishangaza kidogo, wenye ndoa wenzangu labda mnaweza fumbua macho pia.

Huyu 'sista' alimuattend dada mmoja, baadae akaombwa namba yake ya simu kwa kigezo kuwa akihitaji msaada zaidi atamconsult. Sababu ni mwanamke mwenzie hakuna shida, akampa.

Baadae yule dada akaanza kumtumia msgs, na akamtongoza kuwa anamtaka. Sasa akamuuliza, wewe si una mume. Mwanadada akafunguka ndie anae na watoto amezaa nae, ila huwa haridhishwi na mwanaume.

Kwakweli nimesoma ile conversation, nikajikuta nawaza mambo tofauti sana. Hivi kumbe yawezekana hata wife najikunja, kumbe kuna mwanamke ndie kidume wake? Je, kuna madhara gani mkeo akiwa na mishe hizi? Unaweza mgundua vipi?
 
Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Feb 6, 2017
17,389
2,000
Kwahiyo mwanamke mwenzake ndiyo atamfikisha kileleni kwa anachotafsiri

Ukitaka kumridhisha mwanamke wako, Jifunze kwa wale wasagaji.

Wasokijua wengi nikua, wanawake wanaielewa miili yao vzuri.

Na mwanamke aliyasagwa, hua aachi kiraisi maana wanaridishwa kinoma.

Kwa mwanamke mridhiko sio tu kuingiza gegedo

Wale wasagaji hawatumii gegedo. Lkn sasa, demu wako akisagwa aiseee jiandae kunyimwa K.

Kisimi kinavyonyonywa, kinavyochezewa, wanavyojua kucheza na G-spot. U-spot, O-spot, K-spot

MKEO HACHOMOKI.
 
Iceberg9

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
20,007

Foreplay hiyo, ila mzee mkuyenge ni mwisho wa habari, shida ya vijana wanataka booster, mkuyenge unaweza kuwa ni kiboko, unaweza kuwa na mwiko na usijue kusonga ugali
 
Scars

JF-Expert Member
Apr 8, 2017
16,802
2,000
Ukitaka kumridhisha mwanamke wako, Jifunze kwa wale wasagaji.

Wasokijua wengi nikua, wanawake wanaielewa miili yao vzuri.

Na mwanamke aliyasagwa, hua aachi kiraisi maana wanaridishwa kinoma.

Kwa mwanamke mridhiko sio tu kuingiza gegedo

Wale wasagaji hawatumii gegedo. Lkn sasa, demu wako akisagwa aiseee jiandae kunyimwa K.

Kisimi kinavyonyonywa, kinavyochezewa, wanavyojua kucheza na G-spot. U-spot, O-spot, K-spot

MKEO HACHOMOKI.
Itakuwa ni ujinga wa kupitiliza kwa mwanaume mwenye majukumu kuanza ku-concentrate kutafuta mbinu za kumridhisha mkewe badala ya ku focus kwenye mambo ya msingi

Hizo channel za mpira sijui G-sport zitakupotezea focus yako kwenye mambo ya msingi

BTW nime challenge mtazamo wako ila sijaudharau/kukudharau
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom