Hii inasikitisha, yaani kiwanda kikubwa kama hiki kinalipa Watanzania Tshs. 3800 kwa siku!

Mkuu hakunaga kibarua anaye katwa ama pesa yake kupeleka NSSF!
Akipewa. 3800 ndio imeisha iyo! Na siyo kila siku anapata kibarua (kazi)
Akichelewa imekula kwake!
Sio ajira!
Usidanganyike!
Ulizia NSSF, vibarua wanakatwa hiyo NSSF hata kama haina mantiki yoyote na ni wizi!
 
Hilo siyo tatizo la wenye kampuni ni tatizo la serikali yetu ambayo yenywe imeweka viwango vya kima cha chini cha mshahara kwa sekta ya viwanda ambapo 3800 ndiyo minimum wage
 
Like seriously?Kwamba unafikiri hizo huduma zinakupa wewe haki ya kumfanyisha kazi more than 18hrs kwa mshahara wa 50k?ukweli ni kwamba umemfnya mtumwa.
Nikupe tu ratiba yangu ..anaamka saa 12 mm naamka 11 mm kuandaa wanangu anarudi kulala saa3 dada anarudi kulala...analala had 6 anapika chakula cha mchana...kifupi hapa ametoka kuamka alilala toka saa10..na sionu shida kwasababu mm sina kaz..kifupi home sina tunashinda kulala...mshahara dada hagusi ...narudia hagusi..na akitaka kitu yuko free kusema..nampa motisha mnoo( mama na babake wakiugua nahusika kutuma hela apart from mshahara wake na nulishamwambia wazaz wakiugua niambie tutume hela)..hebu utulie tu na ww
 
Ndugu njoo uone mazingira ya kazi na hayo malipo ni vitu 2 tofauti, halafu wana nunua magari ya kifahari kuzungukia humu ndani tuu kama utumbo.
Kaka kuliko hawa wa 3800 bora kuridhika tu sasa huo wivu wa maboss zenu mngeugezaga fursa...
 
Ila Andoza ukiachana na suala la utumwa au ukorofi wa boss asiye na utu, house girls anayelipwa kwa wakati na Huduma za ziada kama alizosema Wangari Maathai wana unafuu mkubwa mno.
Mimi wangu simtesi..nikijiskia kutoka out niko naye ....kifup mm nakula bata na beki 3 wangu vby mno tu..amerelax...analala kuliko mm..na sina shaka naye na wala sion kwro..usik analala saa6 anachek mamichezo...anafanyaje kaz kwa 18hrs?
 
Ukiwa hauna helq ya kula huwezi kuwa na mawazo ya kununua kochi au Tv, muda huo utakua na mawazo ya kufanya kazi ili tu angalau uweze kupata mlo mmoja kwa kisu ili uendelee kuishi

Kuna hatua ya umaskin ikikufika maisha yanakua ni magumu mno na hakuna mtu hata mmoja wa kukusaidia, hatua hiyo ikikufika unatamani hata upate kazi utakayo lipwa chakula tu, unakuwa upo tayari mtu akufanyishe kazi ili ule bure kwake

Muda huo kila mtu anakuona kama huna akili nzuri lakin utafanya nini au utatenda nn? Zaidi ya kufanya tu ili angalau uupiganie uhai wako kwanza?

Hapo ukikutana na mtu alie toka familia bora lazma akuone wewe ni mpumbavu kwakua yeye haijui njaa ni nini wala hakuwahi kukaa na njaa kwa zaidi ya masaa 30

Viwanda vingi vinalipa wafanyakazi kipato kidogo Sana japokua hawakulazimishi uende kwao Sasa je kama huna pakwenda wala huna mtetezi utaenda wapi?
Umeandika kila kitu Mkuu
 
Kwahiyo unakamatwa na kupelekwa kiwandani?? Toeni taarifa polisi
 
Nikupe tu ratiba yangu ..anaamka saa 12 mm naamka 11 mm kuandaa wanangu anarudi kulala saa3 dada anarudi kulala...analala had 6 anapika chakula cha mchana...kifupi hapa ametoka kuamka alilala toka saa10..na sionu shida kwasababu mm sina kaz..kifupi home sina tunashinda kulala...mshahara dada hagusi ...narudia hagusi..na akitaka kitu yuko free kusema..nampa motisha mnoo( mama na babake wakiugua nahusika kutuma hela apart from mshahara wake na nulishamwambia wazaz wakiugua niambie tutume hela)..hebu utulie tu na ww
Right to self determination.Huyo unakaa naye kama ndugu yako na sio kama mfanyakazi wako.Fanya hivi,Mkatia Bima ya Afya kwa ajili yake na dependants wake.Mlipe Salary isiopungua 180k,mpe chakula kila siku 5000 itakuwa ni 150k kwa mwezi ndo mshahara wake utafika 450k ambayo bado kuna wanalipwa that amount na wanaona ni ndogo sana.Usichanganye kazi na kumhifadhi mtu kama mtumwa wako kisha ukamhudumia vizuri ili awe comfortable na kuendelea kuwa mtumwa wako.
 
Mkuu hakunaga kibarua anaye katwa ama pesa yake kupeleka NSSF!
Akipewa. 3800 ndio imeisha iyo! Na siyo kila siku anapata kibarua (kazi)
Akichelewa imekula kwake!
Sio ajira!
kimsingi ni lazima kibarua awe anakatwa makato kupeleka nssf na mbona kuna baadhi ya waajiri wanapeleka michango ya vibarua nssf, na wanapata na ile huduma ya fao la matibabu shib, fuatilia utaona tu.
 
Right to self determination.Huyo unakaa naye kama ndugu yako na sio kama mfanyakazi wako.Fanya hivi,Mkatia Bima ya Afya kwa ajili yake na dependants wake.Mlipe Salary isiopungua 180k,mpe chakula kila siku 5000 itakuwa ni 150k kwa mwezi ndo mshahara wake utafika 450k ambayo bado kuna wanalipwa that amount na wanaona ni ndogo sana.Usichanganye kazi na kumhifadhi mtu kama mtumwa wako kisha ukamhudumia vizuri ili awe comfortable na kuendelea kuwa mtumwa wako.
Bro mbona umekomalia sana hili jambo la dada wa kazi? sasa utumwa unakujaje kama wahusika wenyewe wameridhia?...

Kwa huduma anazopewa unajua zinazidi hata mshahara anaolipwa?

We unataka afanyie kipi cha ziada Mkuu?
 
kimsingi ni lazima kibarua awe anakatwa makato kupeleka nssf na mbona kuna baadhi ya waajiri wanapeleka michango ya vibarua nssf, na wanapata na ile huduma ya fao la matibabu shib, fuatilia utaona tu.
Mkuu hawa vibarua ambao kupata kwao kibarua ni kuwahi kufika na kwa mwezi anaweza pata kibarua mara 6 vibarua ambao hata miezi mitatu hawafikishi!!
 
Back
Top Bottom